Sasa harmonize na rommy jons nani anafaa kusaidiwa we vp wewe"Sasa we unaona sawa mwanaume kulelewa lelewa hadi boxa ununuliwe na nduguyo, najua we unaona kawaida make hata mshkaji wako kiba bado analelewa home mara alelewe kwa kidoti.... Sioni shida atalelewa na diamond hadi lini kwani ye ni tiffah
Swala la romy kutelekezwa muulize mleta threadNani kakwambia Rommy katelekezwa? Acheni uchonganishi! Kama una ushahidi ana uza madawa weka hapa ushahidi..
How nawachonganisha?! Kwa sababu ipi?! Penye ukweli uwongo hujitenga. Subiri utasikia yote soon binafsi sijafurahi ninayo yao na sina sababu hamna anaeniongezea wala kupunguza kitu kwako nasema ninachokijua kutoka huko huko kwao...na nishaona haina haja ya kuende coz hamna atakae amini...time will tellSio kweli unapoteza muda kuwachonganisha ndugu.
Hayo mambo ya kishirikina hata bikira wa kisukuma alishawahi kusema kwamba jamaa ni noma kipindi ommy dimples kachukua tuzo ukNilichosikia ni mambo ya kishirikina kua romy nyota yake imeshaisha so akiendelea kufuatana nae ni hatari so wamemuondoa kiaina na mama ndio alimwita kumwambia...siwezi mtaja alosema hayo ila mtakuja yasikia mda utafika tu
Nilichosikia ni mambo ya kishirikina kua romy nyota yake imeshaisha so akiendelea kufuatana nae ni hatari so wamemuondoa kiaina na mama ndio alimwita kumwambia...siwezi mtaja alosema hayo ila mtakuja yasikia mda utafika tu
Aisee watu mnakazi kufuatilia ya watu
Rudi siasani huku hukuwezi....
Sasa harmonize na rommy jons nani anafaa kusaidiwa we vp wewe"
Teh Teh nimecheka sana..Wasaidiwe kwani wakoma? Wajitegemee watapata support full stop
Wasaidiwe kwani wakoma? Wajitegemee watapata support full stop
Kwa hiyo chief kuuza na D anauza? Una ushahidi lakini?Swala la romy kutelekezwa muulize mleta thread
Swala la madawa unamjua chief kiumbe tuanzie hapo"
Aisee hii siwezi kuamini kamwe...eti nyota imeshaisha daaa...Nilichosikia ni mambo ya kishirikina kua romy nyota yake imeshaisha so akiendelea kufuatana nae ni hatari so wamemuondoa kiaina na mama ndio alimwita kumwambia...siwezi mtaja alosema hayo ila mtakuja yasikia mda utafika tu
Hujajibu swali bado haya kaa na ujanja wako kama ni much knowKwa hiyo chief kuuza na D anauza? Una ushahidi lakini?
Watakuwa hawamfanyii vema rommy Jones ,rommy Jones ndo aliyekuwa clouds enzi diamond hajatoka,na akawa anarudia sana kupiga nyimbo za diamond na kuomba washikaji wapige simu za kuiomba ipate airtime ionekane diamond anapendwa,halafu Leo anamtosa?
Kuna bifu kubwa linaendelea chini chini kati ya Diamond Platinumz na binamu yake na mtu wake wa karibu Rommy Jones.
Chanzo cha bifu hilo japo wenyewe hawataki kuweka wazi inasemekana ni kitendo cha Diamond kumwambia Rommy aweke utaratibu wa kujitegemea yeye mwenyewe alafu yeye atamsapoti. Inasemekana Rommy hakufurahi kaona kama kadhalilishwa, kumbukeni Rommy hajui ata bei ya viatu kila kitu anawezeshwa na Diamond.
Wengine wanasema chanzo ni Zari inasemekana Rommy ambae ni swaiba wake na Wema alikuwa anajaribu kumshawishi kwa muda mrefu Diamond arudishe mapenzi kwa Wema huku akisaidiwa na Aunt. Hii ilimuuzi sana Diamond maana Diamond kwa sasa jicho lake lote lipo kwa mwanae Tiffa na mpenzi wake Zari sasa kuona mtu wake wa karibu anamshawishi kuvuruga furaha yake ikaleta doa kwenye uswahiba wao.
Kingine ni ishu ya Wasafi records label mpya ya Diamond ambayo kawekeza pesa ndefu lakini kampa usimamizi ndugu yake mwingine anaitwa Ricardo kuisimamia upande wa wasanii na studio na upande wa photo point kampa kifesi ambaye amemnunulia vifaa vya kisasa toka South Africa. Rommy anaona kama kawekwa kando kwenye ufalme wa Wasafi. Mama Diamond nae analaumiwa sababu ameegemea upande wa mwanae.
Mimi nawashauri awa watu wamalize tofauti zao wakae chini waelewane Rommy ajaribu kumwelewa Diamond kwa sasa ni baba hivyo kuna vitu lazima vibadilike akilini mwake hawezi tena kuwa yule Diamond aliokuwa anasikiliza ushauri wako na Halima na Petii.
Pia Dangote ajitahidi kumwelewa cousin wake ni mtu wa aina gani hawezi kubadilika fasta kama unavyotaka Rommy starehe ujiko na show off ndio imekuwa maisha yake tangia utoto awezi kufikiria kama wewe unaewaza future ya mwanao na mama na dada zako.
Copyright Jamiiforums
Acha uongo ndugu! wangekuwa na bifu ommy asingempost diamond cheki hii picha daki chache zilizopita
Acha uongo ndugu! wangekuwa na bifu ommy asingempost diamond cheki hii picha daki chache zilizopita
Haa tushike jembe tukalime...
Mji wenyewe huu hakuna sehem kuna shamba inabidi tubakie kuwajadili tu
Pia Diamond kamtosa baunsa wake namuona naye kapoa sana full mawazo Njaa Kali.