Habari za leo wanajamii?
Nina masuali mawili yanayohusu rasimu ya katiba ya Tanzania nayo ni:
1. Jee kuna tovuti (website) ambayo kamati husika imeweka rasimu hiyo ili wananchi waweze kusoma? kama ipo, naomba kujua anuani ya tovuti hiyo.
2. Mbali ya suali la serikali tatu ambalo ndio limechukua kipa umbele katika mijadala, ni masuali gani mengine ambayo rasimu hiyo imependekeza?
shukrani