EXCLUSIVE: Download Rasimu ya Kwanza ya Katiba Mpya hapa na toa maoni

EXCLUSIVE: Download Rasimu ya Kwanza ya Katiba Mpya hapa na toa maoni

Kama Bunge lenyewe ni hili la mipasho tutegemee usimamizi upi jamani
 
Kulikuwa na umuhimu mkubwa wa kuwa na mahakama huru. Tutaendelea hadi lini kuwa na mahakama iliyo chini ya Rais. Mbaya zaidi Tume ya uchaguzi automatically inakuwa pia ya Rais
 
Wasomi wetu wengi wa vyuo vikuu wamekuwa kimya sana kuhusu maswala muhimu yanayotokea nchini.hili la katiba fungukeni jamani.
 
Wanajamvi,

Habari za usiku, nimeletewa Rasimu hii kwenye personal email na nimeona ni vema nika-share na nyie ili tuijadili.

Shukran,

Mohammed
 

Attachments

Ahsante sana brother. Kuna watu walianza kutuwekea rasimu feki (matango pori), sijui ndio rasimu zao?
 
Kiukweli haikubaliki nimetmuia zaidi ya msaa 5 kuandaa hii kitu, alafu anakuja sijuhi mods eti ana imuvuzisha.

Aagghahhhhhhhhhaa, sitaki waandike na wao ya kwao basi kama wanafikiri ni rahisi.
 
Hongera Warioba Angalau sasa tumepata imani na wewe sasa. hapo kwenye UWAZIRI angalau mtu awe na SHAHADA YA KWANZA itapunguza vilaza kama LUKU.VI
 
Back
Top Bottom