nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,285
- 3,250
...Nimepitia rasimu ya katiba mpya na moja ya mambo niliyopenda kuona yakiwemo ni hili la uwepo wa serikali ya jamhuri ya muungano wa TZ, serikali ya TZ bara na serikali ya Zanzibar...Hili ni jambo jema ambalo limepigiwa kelele mno na wadau na hakika litasaidia sana kupunguza kero nyingi zilizokuwemo kwenye muungano....pamoja na kutoa uhuru kwa pande mbili za muungano kujiamulia mambo yao... ilimradi tu hawavunji katiba kuu ya muungano.
......Katika muundo huu wa serikali tatu nimeona itawawia wenzetu wa Zanzibar rahisi sana kuunda serikali, bunge na katiba yao....Infact tayari vyombo hivi wanavyo kule kwao...maana tayari wana baraza lao la wawakilishi...pia wana katiba yao (waliyotopitisha kwa referendum)...na pia wana muundo wao wa serikali ya mapinduzi ya zenj....
....Hoja yangu hapa ni jinsi gani vyombo hivi vitaundwa huku TZ bara?....yaani ni wakati gani na mechanism gani itatumika kuunda katiba, bunge na serikali ya TZ bara?.......maana kwa TZ bara vyombo hivi vitakua vipya kabisa na sioni time frame na mechanism ya kufanya haya mambo ndani ya rasimu ya katiba iliyotolewa.....au kama ipo please wenye nayo watuwekee hapa...
.....Nasema haya nikinukuu vifungu vifuatavyo kwenye rasimu hii mpya:
Ibara ya 8 (1) inasema hivi: "Bila kuathiri masharti ya katiba za washirika wa muungano, katiba hii itakua sheria kuu katika Jamhuri ya muungano".....pia
Ibara ya 57 (3) inasema hivi: " Muundo, madaraka, na mambo mengine ya kiutendaji yahusuyo serikali ya TZ bara na Zanzibar yataainishwa katika katiba za washirika wa muungano".