pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Acha blah blah wanahabari wa Tz bado saaana! Ndio maana mada zote mnazozieka hapa chanzo huwa ni media za kenya.Eish...., nimegusa kidonda. Inaoneka na wewe ni mdau wa hii tasnia ya habari. Tanzina kuna wanahabari wa kila aina, ukitaka wa serious stuff utawapata, ukitaka wa udaku utawapata. Kenya mnalishana mafake news kila upande ndio maana mnajioma mko mbali lakini ni debe tupu.
Kwa ile tabia yenu kuwa allergic na Tanzania news ndio maana tunaweka za kwenu. Lakini kubali usikubali kwa ufake news Kenya mnaongida bara la AfrikaAcha blah blah wanahabari wa Tz bado saaaana. Ndio maana chanzo cha habari kwenye mada zenu zote huwa ni media za Kenya.
Endelea kusoma The standard, Daily Nation na hata Taifa Leo. Alafu utushukuru sana sisi wakenya kwa kukupasha na kukuelimisha.
Endelea kujiliwaza. Kesho najua bado utafatilia habari kutoka kwa media za kenya. Nilijaribu kusoma gazeti za Tz lakini zinahitaji uvumilivu wa kupindukia.Kwa ile tabia yenu kuwa allergic na Tanzania news ndio maana tunaweka za kwenu. Lakini kubali usikubali kwa ufake news Kenya mnaongida bara la Afrika
Real fight?, Alshabab do not have any heavy military hardware, no any modern communication system, they just depend on charcoal to finance war still you call it real fight?. The problem lies on troops which fight alshabab are weaker than Alshabab.What is Kenya's intrest in Burundi? We don't share a border. Why are Tanzanian soldiers not in Somalia, where the real fight is happening?
Umesahau coast week napia nasikiliza inooro fmEndelea kusoma The standard, Daily Nation na hata Taifa Leo. Alafu utushukuru sana sisi wakenya kwa kukupasha na kukuelimisha.
Do you know how many countries have their armies in Somali? Do you also know that Alshabaab has international connections through Alqaeda? Do you know Alshabaab has foreign sympathisers, fighters and funders? Unadhani tunaongea kuhusu banyamulenge? Mbona AMISOM walikuwa Somalia kabla ya Kenya na bado wapo tu? The fight against terrorism is global, and we all know Tz isn't part of this globe.Real fight?, Alshabab do not have any heavy military hardware, no any modern communication system, they just depend on charcoal to finance war still you call it real fight?. The problem lies on troops which fight alshabab are weaker than Alshabab.
The biggest UN force is in DRC, but because of some reasons known by UN found it necessary to ask Tanzania to take a lead to stop what it's biggest mission failed in eastern DRC, now it is a history. Like it or not KDF is the weakest army, remember it failed in South Sudan, Kenyan commander was fired, ultimately Unity decided to withdraw all troops to avoid further humiliation, there is nor single history of victory in a battle field associated with KDF.Do you know how many countries have their armies in Somali? Do you also know that Alshabaab has international connections through Alqaeda? Do you know Alshabaab has foreign sympathisers, fighters and funders? Unadhani tunaongea kuhusu banyamulenge? Mbona AMISOM walikuwa Somalia kabla ya Kenya na bado wapo tu? The fight against terrorism is global, and we all know Tz isn't part of this globe.
If this is the stuff you tell yourself to boost your ego then am game. Keep on keeping on, you will get there some day.The biggest UN force is in DRC, but because of some reasons known by UN found it necessary to ask Tanzania to take a lead to stop what it's biggest mission failed in eastern DRC, now it is a history. Like it or not KDF is the weakest army, remember it failed in South Sudan, Kenyan commander was fired, ultimately Unity decided to withdraw all troops to avoid further humiliation, there is nor single history of victory in a battle field associated with KDF
Hahaha, wasn't this supposed to be an argument about whose military is stronger?! Why are you attacking him personally?If this is the stuff you tell yourself to boost your ego then am game. Keep on keeping on, you will get there some day.
To be honest, am just pissed off at the line of thought in his arguements. You know, broken cassette style and such.Hahaha, wasn't this supposed to be an argument about whose military is stronger?! Why are you attacking him personally?
Go wash your wounds and come back later. You have been knocked downTo be honest, am just pissed off at the line of thought in his arguements. You know, broken cassette style and such.
Hahaha! 😀 Knocked down? Was there a fight going on? I had no idea!Go wash your wounds and come back later. You have been knocked down
Yeah.. you dont have any idea at allHahaha! 😀 Knocked down? Was there a fight going on? I had no idea!
Cool. 😎Yeah.. you dont have any idea at all
Are there newspapers in Tz by the way juu mimi huona wakipost vitu hapa kwa twitter.Why don't you read Tanzanian newspapers and follow the news on Tanzanian media? Oga no be by force now! 😎
Nikisema ukweli wanaona kama ni bifu. Magazeti Tz yapo, lakini huwa ni majanga tupu yaani kichwa cha habari tu unakosa appetite! Sasa ngoja uingie kwenye ukurasa wa pili....Are there newspapers in Tz by the way juu mimi huona wakipost vitu hapa kwa twitter.
Ama ni zile kwa front page ''Diamond kaachwa na Zari'' yani udaku tupu...Nikisema ukweli wanaona kama ni bifu. Magazeti Tz yapo, lakini huwa ni majanga tupu yaani kichwa cha habari tu unakosa appetite! Sasa ngoja uingie kwenye ukurasa wa pili....
Aisee! Hadi kwenye habari za maana. Utasikia vichwa vya habari kwenye magazeti, Nchi Yaliwa! Dudu Jingine Kwenye Bandari Dar! Mawaziri Watwishwa Zigo La Misumari! Teh teh! [emoji23]Ama ni zile kwa front page ''Diamond kaachwa na Zari'' yani udaku tupu...
Kukaliwa chapati. Page ya kwanza yote inasifu MaguAisee! Hadi kwenye habari za maana. Utasikia vichwa vya habari kwenye magazeti, Nchi Yaliwa! Dudu Jingine Kwenye Bandari Dar! Mawaziri Watwishwa Zigo La Misumari! Teh teh! [emoji23]