EXCLUSIVE: Great Lakes Region on Brink of War Amid ‘Museveni Assassination Plot’

EXCLUSIVE: Great Lakes Region on Brink of War Amid ‘Museveni Assassination Plot’

Eish...., nimegusa kidonda. Inaoneka na wewe ni mdau wa hii tasnia ya habari. Tanzina kuna wanahabari wa kila aina, ukitaka wa serious stuff utawapata, ukitaka wa udaku utawapata. Kenya mnalishana mafake news kila upande ndio maana mnajioma mko mbali lakini ni debe tupu.
Acha blah blah wanahabari wa Tz bado saaana! Ndio maana mada zote mnazozieka hapa chanzo huwa ni media za kenya.
 
Acha blah blah wanahabari wa Tz bado saaaana. Ndio maana chanzo cha habari kwenye mada zenu zote huwa ni media za Kenya.
Kwa ile tabia yenu kuwa allergic na Tanzania news ndio maana tunaweka za kwenu. Lakini kubali usikubali kwa ufake news Kenya mnaongida bara la Afrika
 
Kwa ile tabia yenu kuwa allergic na Tanzania news ndio maana tunaweka za kwenu. Lakini kubali usikubali kwa ufake news Kenya mnaongida bara la Afrika
Endelea kujiliwaza. Kesho najua bado utafatilia habari kutoka kwa media za kenya. Nilijaribu kusoma gazeti za Tz lakini zinahitaji uvumilivu wa kupindukia.
 
What is Kenya's intrest in Burundi? We don't share a border. Why are Tanzanian soldiers not in Somalia, where the real fight is happening?
Real fight?, Alshabab do not have any heavy military hardware, no any modern communication system, they just depend on charcoal to finance war still you call it real fight?. The problem lies on troops which fight alshabab are weaker than Alshabab.
 
Do you know how many countries have their armies in Somali? Do you also know that Alshabaab has international connections through Alqaeda? Do you know Alshabaab has foreign sympathisers, fighters and funders? Unadhani tunaongea kuhusu banyamulenge? Mbona AMISOM walikuwa Somalia kabla ya Kenya na bado wapo tu? The fight against terrorism is global, and we all know Tz isn't part of this globe.
 
The biggest UN force is in DRC, but because of some reasons known by UN found it necessary to ask Tanzania to take a lead to stop what it's biggest mission failed in eastern DRC, now it is a history. Like it or not KDF is the weakest army, remember it failed in South Sudan, Kenyan commander was fired, ultimately Unity decided to withdraw all troops to avoid further humiliation, there is nor single history of victory in a battle field associated with KDF.
 
The biggest UN force is in DRC, but because of some reasons known by UN found it necessary to ask Tanzania to take a lead to stop what it's biggest mission failed in eastern DRC, now it is a history. Like it or not KDF is the weakest army, remember it failed in South Sudan, Kenyan commander was fired, ultimately Unity decided to withdraw all troops to avoid further humiliation, there is nor single history of victory in a battle field associated with KDF
If this is the stuff you tell yourself to boost your ego then am game. Keep on keeping on, you will get there some day.
 
If this is the stuff you tell yourself to boost your ego then am game. Keep on keeping on, you will get there some day.
Hahaha, wasn't this supposed to be an argument about whose military is stronger?! Why are you attacking him personally?
 
Hahaha, wasn't this supposed to be an argument about whose military is stronger?! Why are you attacking him personally?
To be honest, am just pissed off at the line of thought in his arguements. You know, broken cassette style and such.
 
Are there newspapers in Tz by the way juu mimi huona wakipost vitu hapa kwa twitter.
Nikisema ukweli wanaona kama ni bifu. Magazeti Tz yapo, lakini huwa ni majanga tupu yaani kichwa cha habari tu unakosa appetite! Sasa ngoja uingie kwenye ukurasa wa pili....
 
Nikisema ukweli wanaona kama ni bifu. Magazeti Tz yapo, lakini huwa ni majanga tupu yaani kichwa cha habari tu unakosa appetite! Sasa ngoja uingie kwenye ukurasa wa pili....
Ama ni zile kwa front page ''Diamond kaachwa na Zari'' yani udaku tupu...
 
Ama ni zile kwa front page ''Diamond kaachwa na Zari'' yani udaku tupu...
Aisee! Hadi kwenye habari za maana. Utasikia vichwa vya habari kwenye magazeti, Nchi Yaliwa! Dudu Jingine Kwenye Bandari Dar! Mawaziri Watwishwa Zigo La Misumari! Teh teh! [emoji23]
 
Back
Top Bottom