Exclusive: Haya Ndiyo Matukio Makubwa Yaliyopelekea Mauaji Ya Bosi Wa Iebc Musando Huko Kenya

Tatizo viongozi wetu ni wabinafsi kiasi cha kutotanguliza maslahi ya taifa na badala yake hutanguliza maslahi ya familia zao tu.
Hili ni tatizo....but; critically ni wazi kwamba kuna mengi yamejificha kwenye kifo hichi na vingine vitakavyoendelea kutokea karibuni kabla ya uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akina Ruttashobolwa hawataki hayo mambo yenu ya uwazi! Wanasema yataleta vurugu!! Ukitenda haki au kudai haki kwao ni vurugu!ndiyo maana hapa ukijaribu kumwonyesha mbele penye mto yeye analazimisha kuwa kwa Nini tusiuvuke kinyumenyume!!
 
Acha ulongo wako! Nani kasimlia kuwa mwanamke alimwambia kuwa wapite barabara fulani! Wakati waliokuwa wawili na wote wamekufa! Ukamatwe kusaidia polisi!

Don't lie! Who said the women had convinced Chris to use the gang's dedicated road while all of them died in a tragedy! Let you be apprehended to help police investigation!

If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
 
I like your thinking. Mm tangu ile food poisoining nilianza kuihoji sana. Inawezekana vipi muaji apate nafasi ya kukuwekea sumu halafu iyo sumu isiwe ile inayiua kwa upesi zaidi.
Hapa unahitaji independent thinking kufikiri in 3D
 
Maelezo ya huyo mwanamke nani aliyatoa na kufanikisha kuandika? Kama Watu wamezuiliwa ni nani ameona kwamba kidole kimekatwa! Nani anajua kuwa huyo mwanamke alikuwa msiri wake??

Ukirudia kusoma bandiko, naamini utajibu tofauti na hivi!!!!!
 
Maelezo ya huyo mwanamke nani aliyatoa na kufanikisha kuandika? Kama Watu wamezuiliwa ni nani ameona kwamba kidole kimekatwa! Nani anajua kuwa huyo mwanamke alikuwa msiri wake??
Wew na baba jesca hakuna utofauti...soma tena na tumia akili yako ya kibashite kujijibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I like your thinking. Mm tangu ile food poisoining nilianza kuihoji sana. Inawezekana vipi muaji apate nafasi ya kukuwekea sumu halafu iyo sumu isiwe ile inayiua kwa upesi zaidi.
Hapa unahitaji independent thinking kufikiri in 3D
Ukweli ni kwamba ukiliangalia hili jambo kwa umakini utagundua kuwa NASA wamesha shindwa sasa wanacho tafuta ni kuhalilisha kura zimeibiwa na hawashindwi kufanya chochote... ni Jana NASA wamehoji usalama wa Kura zao ati kwa sababu Msando aliuwawa...sasa bado najaribu ku connect dot isije kuwa ilikuwa njia ya kuhalalisha kuwa Kura zinaibiwa na kukataa matokeo haya..
Kwa Vyovyote vile hakuna upande wowote utakaoshindwa na kukubali matokeo hasa NASA..
Mimi naona kuepusha vurugu ni Kura kuhesabiwa Manually....
 
jamaa alijisnitch mwenyewe,na hili la kukatwa kiganja nilisema huko jana kuwa usikute wamekata kwa ajili ya biometric authentication kama ni kweli wameondoka nacho kiganja
 
mawazo ya mwanaCCM utayajua tu
 
Naskia Raila anataka proffesional IT atoke Uingereza kukaimu nafasi ya Msando....

Najiuliza hawa wazungu hatakuwa na interest zao wakamweka atakaye kuja kuangalia maslai yao?...

kuna muda trump anakuwa na akili sana waafrika tunashindwa kujitawala wenyewe had tusimamiwe ajabu sana hii.
 
Tunaweza kusema kuwa tume ya uchaguzi ya kenya ni huru zaidi na Ndiyo maana option pekee wanayoona inafaa kwa sasa ni labda kuondoa uhai wa mtu!! Kama iNgekuwa ya hovyo kama ya Tanzania basi ilikuwa ni suala la kumpigia simu mwenyekiti wa tume aende ikulu akachukue 'draft' la matokeo yanavyopaswa kuwa! Same ol rubbish!
 
"Upumbavu wetu waafrica na madictator wengine popote duniani ungeelekezwa zaidi katika kuutangazia umma wa wananchi kuwa hatuna haja ya kufanya uchaguzi"
Hii ni bonge ya wazo aisee. Moana hapo nakupa PHD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo ya huyo mwanamke nani aliyatoa na kufanikisha kuandika? Kama Watu wamezuiliwa ni nani ameona kwamba kidole kimekatwa! Nani anajua kuwa huyo mwanamke alikuwa msiri wake??
BBC walikwisha ripoti kuwa marehemu alikatwa mkono
 
Usichezee utamu wa ikulu,
Deal zote tamu unaweza kupata au kuwapa uwapendao,ndugu na jamaa zako wananeemeka,
Hii ndio Africa,ukiingia kwenye 18,za watawala,au wanaoutaka uongozi,wanakupoteza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…