hizi ni propaganda za kutafta uungwaji mkono kwa R. O nothing newAcha ulongo wako! Nani kasimlia kuwa mwanamke alimwambia kuwa wapite barabara fulani! Wakati waliokuwa wawili na wote wamekufa! Ukamatwe kusaidia polisi!
Don't lie! Who said the women had convinced Chris to use the gang's dedicated road while all of them died in a tragedy! Let you be apprehended to help police investigation!
If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
Watanzania je? Umesahau tanzania ilipotoa wakimbizi kwenda Kenya miaka 15 iliyopita?Tunaweza tusiwe na uhakika lakini haina shaka kifo cha huyu bwana kilipangwa. Wakenya wakitafuta uongozi UTU huwaondoka kabisaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alichofanya Msando nikama alivyofanya Jecha znz, tofautiyao Msando alikuwa upande wa haki na Jecha alikuwa upande wa batiliLakini Msando sikuona sababu ya yeye kusema wazi kwenye media kuwa hakuna atakaye ingilia mfumo wa matokeo labda akatwe kiganja....Kwangu mimi niliona kama alikuwa amewapa mbinu wauwaji kabisa na zile zilikuwa tambo zisizo na msingi na hapa kusema kweli kabisa ndipo niliamini hakuna kitu kinaitwa Tume huru...
Kama mtu alipata wasaha kutazama mahojiano ya Msando atagundua kabisa kuwa alikuwa na upande wake na ndio maana alikuwa anaweka tambo na katika maongezi yake alionesha wazi kabisa uchaguzi uliopita uliingiliwa na wazi alikuwa ana watuhumu Jubilee...
Kwa hiyo Msando angeliweza kuhakikisha hakuna anaye ingilia mfumo wa matokeo kwa kuonesha vitendo na sio lazima kuweka tambo na kuonesha jinsi ambavyo wanaweza kuingilia matokeo...hilo ni kosa alilo lifanya pale kwenye usaili wake.
Halafu Kifo chake kina utata sana maana upande wa pili ule unaweza kuwa umetekeleza hii mission ili kuonesha kuwa wahusika ni watu fulani na kuhalalisha kuwa kura zimeibiwa na kabla ya kifo chake NASA walisema wamegundua kuna mpango wa wizi wa kura sasa najiuliza kwanini wasiwe NASA wame usika kwenye hili jambo ili kuthibitisha madai yao kuwa kuna mpango wa wizi wa Kura?
Halafu ni jana tuu NASA wamehoji usalama wa Kura zao baada Msando kuuwawa...
Bado naamini kuna mengi sana nyuma ya kifo cha Msando.
acha uwongo wewe lini msemaji wa kdf alsema wanaratibu wizi wa kura?Una hoja nzuri lakini hebu tujiulize na tujifikirishe kidogo tu hivi kati ya Jubilee na NASA na akina nani wana 100% ya ' Kutekeleza ' mauaji yao kwa kuyaratibu vizuri kwa msaada wa State Security Organs za Kenya? Mkuu hivi kwa mazingira haya tu ya Kifo cha ghafla cha yule Waziri Major General Nkaissery ambaye nae alikuwa akiongoza idara ' Nyeti ' na huyu wa jana Msando na naambiwa kuwa hivi leo mchana tena Msemaji wa Jeshi la Kenya ametoweka hajulikani alipo mara baada tu ya Kukubali kuwa baadhi ya ' Nyaraka ' za Siri za Uibiwaji wa Kura zilikuwa zinaratibiwa moja kwa moja na Jeshi la Kenya ( KDF ).
Sasa kama Marehemu Msando ' kauliwa ' hadi kukatwa ' Kiganja ' chake nahisi huyu wanaweza wakamuua na wakakuta viungo vyake wamevitoa na kuvitandaza pembezoni mwa mwili wake. Nimetahadharisha na nazidi kutahadharisha kuwa kama ' Waangalizi ' wa uchaguzi huu wasipokuwa makini pamoja na nchi ' Washirika ' kukemea haya ' mauaji ' tutegemee Vita kubwa sana kuibuka nchini Kenya. Ukweli ni kwamba Kenyatta na Ruto hawatakiwi na Wakenya kwani wameharibu mno Uchumi wa Kenya lakini kama haitoshi wanasababisha ' mauaji ' yote haya ili kuwatisha Watu na hasa Watu wa Tume ( IECB ) ili waogope na kubwa zaidi hawataki akina Odinga na Musyoka wachukue nchi kwakuwa wanajua wakishinda tu ile Kesi ya akina Kenyatta na Ruto kule ICC the Hague itaibuliwa na hakuna ' ubishi ' wowote kwamba akina Kenyatta na Ruto walihusika kwa 100% na wanajulikana sana kwa ' Umafia '.
Viongozi wa kiafrika ndio walivyo wako tayari kulinda madaraka yao kwa damu ya mtu,uchaguzi wa kenya utamalizika kwa machafuko yetu machoMie nimewaza sana juu ya huyu kijana.Bora mwili wake ungepatikana tu uwe mfu au hai ili ndugu zake waache kusononeka. Ben ni fumbo kwakweli.
Jubilee ndio wahusika huhitaji akili kubwa kujua,wao kdf,police wote wko chini yao angekua mtu muhimu kwao wangetoa ulinzi b4 hata vitisho,hata msemaji wa KDF kauawa na watawala.madaraka yanalindwa kwa gharama ya kutoa uhai wa watuMaelezo yako mbona yana hitimisha kuwa kuwa Jubilee ndio wamehusika? Kwanini si NASA kwa kutafuta public sympathy kupitia mgongo wa Kura kuibiwa na kuingiza nchi kwenye machafuko? NASA hata kabla ya kupotea kwa msando walileta story za kuibiwa kura na hata baada ya Msando kupatikana ndio wameonesha wazi kuwa hawana imani na mfumo wa matokeo ,,,,Kwanini sio kwamba hili jambo limepangwa ili kuonesha ulimwengu kuwa Kura zinaibiwa?
Mimi bado nina wasi wasi kabisa na pande zote kuhusika........maana mazingira ya kifo cha Msando bado kina waweka kwenye mashaka pande zote mbili kuhusika...
Majirani zetu hawahitani maombi ya watu wanafiki kama Watanzania. Hamkuwahi kuona Wakirigenzi wakifukuzwa kazi kisa kukataa kumtangaza mbunge wa ccm na kutenda haki kwa aliyeshinda? Hayo maombi yako yatafaa nini?Jawani, jamani, ...majirani zetu wanahitaji kuombwewa maana wanakoelekea sasa ni mashaka matupu!
Haya hapa mengine...
View attachment 555255
Hawataki influence ya Tanzania kwenye nchi yao. Waendelee kfyeka kila atakaeleta fyokofyokoNa ndilo wanalolifanya sasa Mkuu. Na sababu Kuu hasa ya hawa kutekeleza ' Mauaji ' haya ya ' Kimafia ' ni hofu tu ya kwamba kama akina Odinga na Musyoka watachukua nchi ' watafufua ' ile Kesi yao ya Post Election Violence iliyopo ICC ' The Hague ' ambayo na yenyewe pia ilibidi wale ' Mashahidi ' wauliwe huku wengine wakihongwa Pesa ili ' kukwepesha ' ushahidi huku wengine wakimbia Kenya na kwenda ' Kujificha ' kwa hofu ya kutafutwa na ' Wauwaji ' wa Kenyatta na Ruto.
Hawataki influence ya Tanzania kwenye nchi yao. Waendelee kfyeka kila atakaeleta fyokofyokoNa ndilo wanalolifanya sasa Mkuu. Na sababu Kuu hasa ya hawa kutekeleza ' Mauaji ' haya ya ' Kimafia ' ni hofu tu ya kwamba kama akina Odinga na Musyoka watachukua nchi ' watafufua ' ile Kesi yao ya Post Election Violence iliyopo ICC ' The Hague ' ambayo na yenyewe pia ilibidi wale ' Mashahidi ' wauliwe huku wengine wakihongwa Pesa ili ' kukwepesha ' ushahidi huku wengine wakimbia Kenya na kwenda ' Kujificha ' kwa hofu ya kutafutwa na ' Wauwaji ' wa Kenyatta na Ruto.
Nikama siasa za Jecha kufuta uchaguzi ilhali yeye hana mamlaka hayo kisheria.Hapo kwenye kukata kiganja haijathibitishwa ,halafu hivi finger print inaweza fanya kazi hata kama hakuna mzunguko wa damu? au alikatwa baada ya kuwaonesha kila jambo walilo hitaji? Lakini kulikuwa kuna ulazima gani kuutangazia Umma kuwa Msando ndiye mtu pekee anajua seva zilipo? Msando pia aliingiwa na siasa ndani yake kulikuwa hakuna sababu ya kuongea maneno yanayo onesha kuwa uchaguzi uliyopita ulidukuliwa wakati uwezi kuwapa Umma ushahidi na pia hakutakiwa kujitamba kiasi kile hadi kuwapa mbinu.
Mimi ninacho amini bado kuna utata mkubwa sana kwenye kifo cha huyo Msando ukiangalia kwa undani unaweza ukashindwa kuwakingia kifua wakina Raila...
Ukweli ni kwamba kama wakenye wasipo punguza mihemko ni wazi yatatokea machafuko...
Huyo msemaji wa polisi kasema yuko poa...
Hata huyo mzungu atakatwa mikono tu. UK piga kaziNaskia Raila anataka proffesional IT atoke Uingereza kukaimu nafasi ya Msando....
Najiuliza hawa wazungu hatakuwa na interest zao wakamweka atakaye kuja kuangalia maslai yao?...
hivi nikweli alipotea moja kwa moja aisee?Nimemkumbuka ghafla Ben Saanane.