Exclusive interview: Halima Mdee kuhusu mahusiano yake

Status
Not open for further replies.
Halima mdee ana umri gani? Kwa anayejua plse



 
ndo mawazo aliyotoa leo sasa we unataka yap na kaongelea suala hilo hana mpango wa kuolewa anataka kuzaa tu

Kuna kitu sijakielewa hapa;
Ni kuwa amejitahidi kutafuta kiumbe ila bado hajapata majawabu...., au mtu wa kushirikiana naye ili kupata kiumbe ndio hajapatikana.
Wana JF mnaojifanya vidume msikurupuke tu...oh aje kwangu nimtolee toto handsome, oh sijui mimi ni dume la mbegu... Jiangalieni!
 
Source ni halima mdee mwenyewe alikuwa anazungumza kwenye kipindi cha leo tena clouds fm mpaka mishale ya sa sita.
 
Yeye anataka mtoto ambaye atamlea peke yake (Single Parent) hajui kuwa wengine tunataka mtoto atakayelelewe na wazazi wote kwa ajili ya maadili na malezi bora. Single parent iwe pale panapolazimishwa na natural circumstances lakini siyo kujitakia. Mimi sipo tayari kuzaa tu mtoto na kumwacha kwa mama yake. Iga mfano wa Dr. Slaa fikiria kuolewa.
 
Hataki kuolewa kwa kuwa ana enjoy kuwa lesbians.
 

hajakataa kuolewa, kadai anataka mtoto inawezekana ikawa nje au ndani ya ndoa
 
...simba atakayekula nyama ...ni yule mwenda pole (Wahenga, not me)
 
Hii thread ina harufu ya uchakachuaji wa taarifa halisi, sina hakika kama Halima Mdee alitoa kauli kama hiyo redioni.
Pili, hii si kazi ya great thinkers. Hatuwezi kutumia muda wetu na airtime ya internet kujadili gossip. This is not the role of great thinkers.
 
Kula tano mdau!

 
Mhhh jamani huko mtaani kakosa kabisa? Yaani hata ma school mate hakuna? makubwa haya
 
Loooo angetaka mtoto si angeenda kununua mbegu huko nje akapandikizwa? anataka mikito hana lolote, kaniudhi sana
 
hata mie nimemsikia pia amesema ndoa nyingi wanaoana baada ya mda wanaachana yeye hahitaji hilo anachohitaji azae mtoto wake amlee mwenyewe
 
Loooo angetaka mtoto si angeenda kununua mbegu huko nje akapandikizwa? anataka mikito hana lolote, kaniudhi sana

Ndo maana nikasema inawezekana kutokana na kujiamini kwake kupita kiasi wanaume wanaogopa kumtokea kwa hiyo ameamua kuwakaribisha.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…