Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbunge wa kawe halima mdee amesema hana mpango wa kuolewa ila anampango wa kutafuta mwanaume wa kuzaaye mtoto kwani hiyo ndio zawadi pekee atakayoiachaduniani. Alipoulizwa anataka mwanaume wa namna gani alisema yule anayejiamini. Kasema yeye haangalii sura, elimu wala umbo. Mdee ambaye pia ni mwanasheria amesema watu wengine wana hofu wakiona mtu ni mbunge au ana masters. Mdee kasema milango haijafungwa hivyo wanaotaka kutuma application application wafanye hivyo. Source: Clouds fm-leo tena. .a
ndo mawazo aliyotoa leo sasa we unataka yap na kaongelea suala hilo hana mpango wa kuolewa anataka kuzaa tu
Haya ndio yale ya Fox na a bunch of ripe juicy grapes.Baada ya jitihada zote za kuzichuma zabibu kushindikana foxy walks away asserting grapes are probably sour!
Hataki kuolewa kwa kuwa ana enjoy kuwa lesbians.Mbunge wa kawe halima mdee amesema hana mpango wa kuolewa ila anampango wa kutafuta mwanaume wa kuzaaye mtoto kwani hiyo ndio zawadi pekee atakayoiachaduniani. Alipoulizwa anataka mwanaume wa namna gani alisema yule anayejiamini. Kasema yeye haangalii sura, elimu wala umbo. Mdee ambaye pia ni mwanasheria amesema watu wengine wana hofu wakiona mtu ni mbunge au ana masters. Mdee kasema milango haijafungwa hivyo wanaotaka kutuma application application wafanye hivyo. Source: clouds fm-leo tena. .a
mleta sredi hajanishawishi kuwa hayo ni mawazo ya halima
Yeye anataka mtoto ambaye atamlea peke yake (Single Parent) hajui kuwa wengine tunataka mtoto atakayelelewe na wazazi wote kwa ajili ya maadili na malezi bora. Single parent iwe pale panapolazimishwa na natural circumstances lakini siyo kujitakia. Mimi sipo tayari kuzaa tu mtoto na kumwacha kwa mama yake. Iga mfano wa Dr. Slaa fikiria kuolewa.
Yeye anataka mtoto ambaye atamlea peke yake (Single Parent) hajui kuwa wengine tunataka mtoto atakayelelewe na wazazi wote kwa ajili ya maadili na malezi bora. Single parent iwe pale panapolazimishwa na natural circumstances lakini siyo kujitakia. Mimi sipo tayari kuzaa tu mtoto na kumwacha kwa mama yake. Iga mfano wa Dr. Slaa fikiria kuolewa.
Loooo angetaka mtoto si angeenda kununua mbegu huko nje akapandikizwa? anataka mikito hana lolote, kaniudhi sanaYeye anataka mtoto ambaye atamlea peke yake (Single Parent) hajui kuwa wengine tunataka mtoto atakayelelewe na wazazi wote kwa ajili ya maadili na malezi bora. Single parent iwe pale panapolazimishwa na natural circumstances lakini siyo kujitakia. Mimi sipo tayari kuzaa tu mtoto na kumwacha kwa mama yake. Iga mfano wa Dr. Slaa fikiria kuolewa.
Loooo angetaka mtoto si angeenda kununua mbegu huko nje akapandikizwa? anataka mikito hana lolote, kaniudhi sana
Source: clouds fm-leo tena. .a ...........what a source