Exclusive interview: Halima Mdee kuhusu mahusiano yake

Status
Not open for further replies.
Mbona mambo ya Mdee yanajadiriwa sana humu ndani kuliko wenzake wa kike,ama Mdee ndo case study?mnavyozidi kumuongea humu ndani mnamzidishia stress,tumwache atafute mwenyewe na mahusiano ni suala bnafsi sana (intimate affair)

Una maanisha nini mkuu?? mbona ni swala la kawaida sana mtu kuongelea hisia na mahusiano yake?? kumbuka mficha maradhi kifo humuumbua. Bora mh. Halima katoa duku duku lake manake kuna waliowahi kusema kachumbiwa na John Mnyika na kumzibia riziki. Sasa inajulikana wazi she is single na anahitaji mtu watakae jenga wote familia. Angekaa kimya hamna ambaye angethubutu kumsogelea. Nice move Halima, endelea kuwa muwazi na nina tumaini utafanikiwa.
 
well done Halima, wadada wengine wanaolewa tu eti nao wawe kwenye ndoa, loh mie nimeolewa na najuta kwa sasa! ndoa ni kifungo caha maisha! uwezi kufanya jambo bili kumshirikisha mwenzio, hata kiatu siwezi kununu mwenyewe, mara unatumia pesa, mara hapana, better off without a man, men arent everything dear! so big up halima mpaka umpate umpandae kwa moyo wote and not easY
 
I just like the lady na jinsi anavyojiamini. Ni kati ya wanawake wachache TZ wenye upeo. Haya ni baadhi ya majadiliano kati yake na Dina Marios.
[/B]

Hata Dina Marios ni kati ya wanawake wachache TZ wenye upeo ndiyo mana kamhoji.
Habari ya kusema watu wapo kwenye ndoa ni wezi wakati yeye anataka kuzaa ovyo huo ni uasherati zaidi.
 

Unachojuta ni nini? kwanini usiachane na mumeo na kuishi maisha unayotaka zaidi ya kunung'unika?
If men arent everything basi ajizalishe bila mbegu ya mwanaume. kuna watu wana ndoa nzuri kama yako imepinda usidhani za wote, pole yako mdada. Maisha ni kama mlima siyo njia iliyonyooka, purukushani hazikosekani.
 
Vipi kwa sasa yuko single au vipi?
Hili halikuwekwa wazi.
Kadri mwanamke anavyoongeza shule ndivyo anavyo punguza wanaume
Tofauti na wanaume, kwani unavyozidi kusoma unaongeza wigo.
Naomba any kind of contact; simu/mail adr/..:mimba:
 
Hivi hiyo power ya Halima ambayo wewe unaiona kubwa sana ni ipi. Hata kama tukiamua kutumia mtazamo wa jumla wa jamii yetu kuwa ni vyema mwanamke akawa chini ya mwanaume bado utaona kuwa kuna wanaume wengi sana wanaomzidi Halima "power". Halafu halima mbona ni wa kawaida sana,..........Huyu hajaingia anga zangu tu lakini mimi nikikaa naye dk 30 tu lazima kieleweke.
 
Hata Dina Marios ni kati ya wanawake wachache TZ wenye upeo ndiyo mana kamhoji.
Habari ya kusema watu wapo kwenye ndoa ni wezi wakati yeye anataka kuzaa ovyo huo ni uasherati zaidi.
Punguza hasira mkuu........Hebu jaribu kumsoma tena nadhani utaielewa vizuri tu pointi yake.
 


taratibu kaka na comments zako, angalia usitibue mjadala. Of coz Halima ana power, she is only 32 na tayari ni MP kwa temu ya pili. Pili anajiamini sana, kwa mwanaume lege lege wa kibongo lazima ule kona.
 
Halima;kwenye inshu ya mtoto naona mawazo yetu yanafanana hapo!Mimi ni bachelor 'sugu' manake bado sijampata nimtakaye ili tufunge ndoa,lakini nataka niwe na mtoto hivi karibuni hata kama nitakuwa sijaoa.Sasa Mheshimiwa unaonaje tuki hook up,ili tusaidiane kutatua hili tatizo letu?
Naamini wewe ni member hapa.Kama umenisoma basi ni PM ili tuepukane na wadwanzi wa JF!
 
[/COLOR]taratibu kaka na comments zako, angalia usitibue mjadala. Of coz Halima ana power, she is only 32 na tayari ni MP kwa temu ya pili. Pili anajiamini sana, kwa mwanaume lege lege wa kibongo lazima ule kona.
Niharibu mjadala kivipi??!! Halima ni MP na anajiamini, hilo nalikubali lakini pia (ngoja niwaazime waingereza kdogo hapa) Halima has that feminine attitude that makes her so sexy and approachable. Nasisitiza ni vile tu hajaingia kwenye anga zangu vinginevyo dk 30 zinatosha sana.(Sina maana ya kwamba baada ya dk 30 tunakwenda kwenye yale mambo yaleeeee, ila nina maana kwamba huo mda unatosha sana kuamsha interest yake kwangu). Nadhani umenisoma sasa.
 
Bravo Halima! we are proud of you! Worry not my dear GOD is gonna bless u with a good husband! Just take you time and don't rush into a relationship that gonna make u regretQ!
 
daaah kaqma sio mama gaude haki ya mungu ningejitwisha hili goma nihangaike nalo ....aaaah mtoto wa kihehe mie ningaya sidahhh
 
dah,ananizidi umri mbali sana,ningejitosa
 
haya vidume jitokezeni ila kumbuka kila kitu kitaingia kwenye mkataba,mpaka kuku mlionao watakuwa kwenye mkataba
 
haya vidume jitokezeni ila kumbuka kila kitu kitaingia kwenye mkataba,mpaka kuku mlionao watakuwa kwenye mkataba
 
she'z confident! She can do whatever she wants to do! Ol the best halima!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…