Mbona mambo ya Mdee yanajadiriwa sana humu ndani kuliko wenzake wa kike,ama Mdee ndo case study?mnavyozidi kumuongea humu ndani mnamzidishia stress,tumwache atafute mwenyewe na mahusiano ni suala bnafsi sana (intimate affair)
Una maanisha nini mkuu?? mbona ni swala la kawaida sana mtu kuongelea hisia na mahusiano yake?? kumbuka mficha maradhi kifo humuumbua. Bora mh. Halima katoa duku duku lake manake kuna waliowahi kusema kachumbiwa na John Mnyika na kumzibia riziki. Sasa inajulikana wazi she is single na anahitaji mtu watakae jenga wote familia. Angekaa kimya hamna ambaye angethubutu kumsogelea. Nice move Halima, endelea kuwa muwazi na nina tumaini utafanikiwa.