Exclusive interview: Halima Mdee kuhusu mahusiano yake

Exclusive interview: Halima Mdee kuhusu mahusiano yake

Status
Not open for further replies.

samirnasri

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
1,388
Reaction score
213
Mbunge wa kawe halima mdee amesema hana mpango wa kuolewa ila anampango wa kutafuta mwanaume wa kuzaaye mtoto kwani hiyo ndio zawadi pekee atakayoiachaduniani. Alipoulizwa anataka mwanaume wa namna gani alisema yule anayejiamini. Kasema yeye haangalii sura, elimu wala umbo. Mdee ambaye pia ni mwanasheria amesema watu wengine wana hofu wakiona mtu ni mbunge au ana masters. Mdee kasema milango haijafungwa hivyo wanaotaka kutuma application application wafanye hivyo.

Source: clouds fm-leo tena

====================

Dina Marios(dm): TAMKO LA MHESHIMIWA HALIMA MDEE KUHUSU MAHUSIANO YAKE...

Mheshimiwa Halima James Mdee mbunge wa kawe amezaliwa Mwaka 1978 ana shahada mbili za sheria moja aliipatia katika chuo kikuu cha dare s salaam nay a pili katika chuo kikuuu cha cape town Afrika ya kusini.

Kitaaluma ni mwanasheria na wakili wa mahakama kuu kutokana na kazi za kisiasa taaluma yake ya kisheria anaitumia kwa muda mchache sana.



Mahusiano yake ya kifaragha....

Halima hajaolewa wala hana mchumba ila anatamani sana kupata mtoto na anapanga kupata mtoto hivi karibuni hata kama atakuwa bado hajaolewa.Anasema hajapata mtu ambae anasifa anazozitaka yeye ili kuishi nae mpaka uzeeni kama mume na mke yeye ndoa anaona ni jambo kubwa la commitment ya milele hivyo anahitaji mtu sahihi na si kukurupuka.'

'Kuna watu wapo kwenye ndoa lakini ni wezi tu wanawake wana wanaume wengine nje ya ndoa na wanaume kadhalika wana wanawake wengine nje ya ndoa.Sasa kiapo mlichokila kwa shekhe au padre kina tija gani?kwa nini uwe katika ndoa iliyojaa uongo??''alisema.

Halima anahitaji mwanaume anaejiamini, mtu asimuone yeye ni mbunge na msomi akamuogopa mapenzi ni kitu cha ajabu sana hayachagui cheo, ukubwa wa umri wau muonekano kwa nini mwanaume atishwe na cheo chake? Mwanaume atakayempenda na kumkubali yeye na asitishwe na majukumu aliyonayo kiserikali huyo ni mtu sahihi kwake.

Ndoa inapangwa na mungu na kama mungu amempanga mume fulani kwa ajili yake atakuja.Na wakati wote ambao unasubiri unatakiwa uwe unaishi katika misingi ya kujiheshimu.Wanaume wamejaa sana ila sio kuokoteza kisa unatafuta mtu sahihi.


God bless you Halima, usikonde Mungu kakuandalia dume la nguvu ili mjenge familia bora, wanaume mnaojiamini mchumba huyo.
 
Duh! Mpe no zangu. Nimekuwa nikisubiri hii news kwa miaka sasa. Nitamzalisha mtoto mzuri ambaye hata yeye atafurahia maisha yake yote.
 
Hii kweli ofa wakati muafaka- Kwangu atapata baby boy toto la kisandawe/mtindiga naomba mwenye namba yake tafadhali ani PM just now!!Nawahi bucha kumwandalia mshikaki pls.
 
Hizi sasa ni GOSSIPS NA POROJO HUMU JAMVINI, Guys why don't we come with ideal rather than these stories?
 
Kwahiyo mpaka atangaze redioni????Huko bungeni ameshindwa kumkamata mmoja!:israel:
 
Halima please, najua uko jf, please please please naomba uni PM, kwa ajili ya mazungumzo ya faragha, please Halima
 
Hii nimeipenda yaani inamaanisha hana kashfa za ngono, yeye muda wake mwingi anautumia kwenye kudai mabadiliko, kumbukeni huyu sio mwnamke nyege, na wanawake kama hawa huwa hawakojoi, maana hawajazaliwa kuja kuwa viburudisho vya wanaume.

Hapa nampa pande John Mnyika aumege huu mzigo wata-match vizuri sana.

wadau wengine punguzeni nyege yeye amewabip tu, huyu mwanamke hana kabisa kiherehere cha kukaa uchi.
 
Kwahiyo mpaka atangaze redioni????Huko bungeni ameshindwa kumkamata mmoja!:israel:

Kipi kimekuchukiza hapo? Ni njia za mawasiliano tu...Mbona wengine wanatafutia humu jamvini. Bora yeye ametangaza hadharani na watu wamemjua, wa humu jamvini hawajulikani.
 
Kipi kimekuchukiza hapo? Ni njia za mawasiliano tu...Mbona wengine wanatafutia humu jamvini. Bora yeye ametangaza hadharani na watu wamemjua, wa humu jamvini hawajulikani.

Ndo yale yale ya yule mwingine aliyetangaza alianza mapenzi akiwa primary kwenye redio!!
Nyw yeye hatafuti ila anaomba atafutwe...kuna tofauti hapo!!!Ina maana huko nyuma ya pazia hamna wanaomfukuzia???
 
Source ni halima mdee mwenyewe alikuwa anazungumza kwenye kipindi cha leo tena clouds fm mpaka mishale ya sa sita.
 
Mbunge wa kawe halima mdee amesema hana mpango wa kuolewa ila anampango wa kutafuta mwanaume wa kuzaaye mtoto kwani hiyo ndio zawadi pekee atakayoiachaduniani. Alipoulizwa anataka mwanaume wa namna gani alisema yule anayejiamini. Kasema yeye haangalii sura, elimu wala umbo. Mdee ambaye pia ni mwanasheria amesema watu wengine wana hofu wakiona mtu ni mbunge au ana masters. Mdee kasema milango haijafungwa hivyo wanaotaka kutuma application application wafanye hivyo. Source: clouds fm-leo tena. .a


Hivi kwa mtindo huu, anatuwasilisha ipasavyo??? Ndio ana haki ya kuji express lakini kulikua na haja gani ya kutangaza? kwamba tuseme saizi yuko single? Au katika ex zake hakuna ambae ni mwanaume wa mbegu? Wamama/wadada katika nafasi za siasa wanaonekana wamekaa kama mapambo na hawafanyi kazi yoyote hivyo hutakiwa kufanya kazi saa nyingine hata mara mbili kuliko wanaume kua appreciated au kukubalika katika jamii and now she has to make it worse by kutangaza hili??? Hataki kuolewa ina maana hawezi ishi kwa amani na mtu - kujiamini kila mtu anajiamini lakini akumbuke kua KILA MBABE ANA MBABE WAKE!!!
 
Inabidi azae na familia ya Mafisadi ili KUSAFISHA damu ya hawa watu maana walau kutazaliwa kitoto kama EX-Deputy
Premier
François-Joseph Nzanga Mobutu ambaye ni mtoto wa Mobutu Seseseko wa Zair (Congo). Jamaa alikimbia anasa za baba yake na kwenda kuishi nje. Ndiyo maana leo hii anaweza kurudi Congo na kuishi na hata kuwa Waziri huku watu wakiwa hawana na yeye Kinyongo.

Sasa hebu mwangalie kijana anayeishi Kimjini, ni sawa na Kongolo Mobutu aka Saddam Hussein.

nzanga-Mobutu-701109.jpg
 
Ndo yale yale ya yule mwingine aliyetangaza alianza mapenzi akiwa primary kwenye redio!!
Nyw yeye hatafuti ila anaomba atafutwe...kuna tofauti hapo!!!Ina maana huko nyuma ya pazia hamna wanaomfukuzia???

Lz unajua kwa status yake, pengine na kujiamini kwake kupita kiasi inawezekana wanaume wanahofia kumtokea so ndo maana na yeye kaamua kuweka bayana ili watu wasimwogope. Hata hivyo sidhani kama hilo suala alilizungumza kwa namna tunavyofikiria, kuna uwezekano msredishaji ndiye ametuongoza kusiko.
 
ndo mawazo aliyotoa leo sasa we unataka yap na kaongelea suala hilo hana mpango wa kuolewa anataka kuzaa tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom