EXCLUSIVE INTERVIEW: Nguvu ya pesa katika mapenzi ya kweli...

Mkuu naweza kukutumia maswali PM?

Au niulize hapa hapa tu, maana naona interview yako imechukua muda kama wa kampeni na wajumbe tumenyimwa nafasi.
cute b nitumie maswali ya kukuuliza nisije nikakuuliza swali ambalo hujajipanga kujibu.

Hahahaaa wew niulize lolote tuu leo nitajibu...
 
Last edited by a moderator:
Nikiacha utaanza kunibembeleza huku unalia, hebu ngoja kwanza.

Sasa mbona haiendelei? Au mnasubiri umeme ukatike huku?

ha ha ha....ina muda maalumu...
cute b leo hii kitu iishe.
 
Last edited by a moderator:
Yaweza kuwa mkombozi wako kama una moyo wa dhati kufanikiwa
Click hii link hapa chini
Job4Living.com Earn 5$-10$ per 30 seconds tasks, Earn 1000$ monthly - Online Job for jobless people
 
Yaweza kuwa mkombozi wako kama una moyo wa dhati kufanikiwa
Click hii link hapa chini
Job4Living.com Earn 5$-10$ per 30 seconds tasks, Earn 1000$ monthly - Online Job for jobless people

Hwananiudhi lazima ufanye survey zao
 
kiwatengu hii interview haiendelei?

Cc @ cute b
 
1.Upendo wa mwanaume kwake (hata kama ni wa uongo unaofanania ukweli)
2.MATUNZO (mwanaume aweze msaidia mpenzi wake anapopata tatizo)
Hivyi viwili ndio vikubwa ambavyo ni rahisi sana mwanaume kumteka navyo mwanamke akakupenda kweli


Acha kutudanganya mkuu, kumuonesha mwanamke upendo sio guarantee kuwa na yeye atakupenda kweli, kumtunza mwanamke (kumhonga pesa) sio guarantee kuwa atakupenda, sana sana atakupendea pesa cute b
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…