Mkuu naweza kukutumia maswali PM?
Au niulize hapa hapa tu, maana naona interview yako imechukua muda kama wa kampeni na wajumbe tumenyimwa nafasi.
cute b nitumie maswali ya kukuuliza nisije nikakuuliza swali ambalo hujajipanga kujibu.
Hahahaaa wew niulize lolote tuu leo nitajibu...
Last edited by a moderator: