Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mgeni kahepaaa....
Root, huku kuna mkeka unataka kuchanika huku.
Hii interview naomba mods waidelete isibaki kwenye records.
Sasa kwanini umemwita root eneo kama hili? Utaharibu biashara jaman mshengq
bado haijaisha mkuu...
bado haijaisha mkuu...
Hii ni ISIDINGO? Haiishi tuuu mweeeeh....
Samahan lakini..
Ha! Yaani kumbe bado!
Itabidi iishe kwa lazima, maana hamna namna sasa.
Acha uchawi uende mbinguniii
Malizeni hili liintavyuu lenu bana....!
Nina wasiwasi mnaenda kujadili kwanza PM hafu ndo mnakuja hapa kutudondoshea script.
Hahahaaa hii ni isdingo....
Hutaki unaachaaagaaaaaaa