Exclusive Interview: NijuzeNews vs Wakili Peter Madeleka. Haki ndiyo msingi wa amani. Uongo uongo wa viongozi wa serikali hii unaigharimu taifa

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592

Hii ni very exclusive and the best ever interview kati ya mtangazaji mwanadada huyu wa NijuzeNews TV na Wakili Msomi Peter Madeleka juu ya mambo mbalimbali ya nchi na taifa letu

Peter Madeleka udhaifu wake katika baadhi ya maamuzi yake kama binadamu. Mfano kukataa kuwa kauli mbiu ya CHADEMA ya NO REFORMS NO ELECTION haina mchango ktk mabadiliko yatakayotokea muda si mrefu ktk mifumo yetu ya utawala na uchaguzi ni kujitoa ufahamu kwa kiwango cha juu sana..

Peter Madeleka anasema, mabadiliko yanayokuja ya kisheria, kikatiba na utawala ni kwa sbb yeye aliamua kushiriki uchaguzi wa 29/10/2025 na kuona mauchafu hayo na kwa sbb hiyo, ndio maana anasukuma mabadiliko Leo😀😀

Huu ndio udhaifu wake kwa sbb huu ni uongo na ni kuchezea akili za watu wenye ufahamu..

===============​

Generally, katika interview hii amefanya vizuri na ametoa hoja nyingi za msingi na zenye kufungua ufahamu na elewa wa wengi...

Kwa ufupi amesema yafuatayo;

1. Ameiponda Tume ya pili ya Rais Samia baada ya ile ya Jaji Chande iliyochunguza matukio ya wao waliiyaita "ya uvunjivu wa amani ya 29/10". Hii ya pili chini ya Jaji Mstaafu Lilla inachunguza kitu kilekile tena lakini imeongezewa kitu kimoja tu "kuchunguza jinai" na hadidu zao za rejea ktk uchunguzi wao ni:
✓ Kina nani walikuwa chanzo?
✓Kina nani walitoa fedha kuwapa waandamanaji?

Wakili Peter Madeleka anauliza: kama hizo ndizo hadidu za rejea, mbona ya KINA NANI WALIUA WATU HAIPO? Kama Tume ya Jaji Mstaafu Lila haitakuja na majibu ya swali hili, tusitegemee lolote jipya litaloliponya taifa kutoka katika tume hii pia sawasawa na Tume ya Jaji Chande ambayo badala ya kujibu shauku ya watu kujua UKWELI, HAKI na UWAJIBIKAJI ikazua maswali yasiyo na majibu na kuleta taharuki tu...!

2. Ameponda uongo wa serikali kuhusu uwepo wa ugaidi Tanzania. Amesema kuwa, ni wazi kuwa viongozi wa serikali ni kama hawana akili na pengine wamechanganyikiwa. Amemponda sana Patrobas Katambi na maelezo yake ya kujichanganya kuhusu ugaidi. Amesema, unaweza ukawa kiongozi mwenye cheo lakini ukawa huna akili, ufahamu wala uelewa wa mambo hususani sheria. Ndivyo alivyo Patrobas Katambi. Ni kiongozi na waziri lakini ni mjinga!!

Ukitaka kupata ufahamu zaidi, fuatilia interview hii mpaka mwisho. Peter Madeleka ana udhaifu wake kama binadamu. Lakini, hapa amefanya vizuri sana. Watu wengi tumemwelewa!
 
Hii ni very exclusive and the best ever interview kati ya mtangazaji mwanadada huyu wa NijuzeNews TV na Wakili Msomi Peter Madeleka juu ya mambo mbalimbali ya nchi na taifa letu

Peter Madeleka udhaifu wake katika baadhi ya maamuzi yake kama binadamu. Mfano kukataa kuwa kauli mbiu ya CHADEMA ya NO REFORMS NO ELECTION haina mchango ktk mabadiliko yatakayotokea muda si mrefu ktk mifumo yetu ya utawala na uchaguzi ni kujitoa ufahamu kwa kiwango cha juu sana..

Peter Madeleka anasema, mabadiliko yanayokuja ya kisheria, kikatiba na utawala ni kwa sbb yeye aliamua kushiriki uchaguzi wa 29/10/2025 na kuona mauchafu hayo na kwa sbb hiyo, ndio maana anasukuma mabadiliko Leo😀😀

Huu ndio udhaifu wake kwa sbb huu ni uongo na ni kuchezea akili za watu wenye ufahamu..

===============​

Generally, katika interview hii amefanya vizuri na ametoa hoja nyingi za msingi na zenye kufungua ufahamu na elewa wa wengi...

Kwa ufupi amesema yafuatayo;

1. Ameiponda Tume ya pili ya Rais Samia baada ya ile ya Jaji Chande iliyochunguza matukio ya wao waliiyaita "ya uvunjivu wa amani ya 29/10". Hii ya pili chini ya Jaji Mstaafu Lilla inachunguza kitu kilekile tena lakini imeongezewa kitu kimoja tu "kuchunguza jinai" na hadidu zao za rejea ktk uchunguzi wao ni:
✓ Kina nani walikuwa chanzo?
✓Kina nani walitoa fedha kuwapa waandamanaji?

Wakili Peter Madeleka anauliza: kama hizo ndizo hadidu za rejea, mbona ya KINA NANI WALIUA WATU HAIPO??

2. Ameponda uongo wa serikali kuhusu uwepo wa ugaidi Tanzania. Amesema kuwa, ni wazi kuwa viongozi wa serikali ni kama hawana akili na pengine wamechanganyikiwa. Amemponda sana Patrobas Katambi na maelezo yake ya kujichanganya kuhusu ugaidi. Amesema, unaweza ukawa kiongozi mwenye cheo lakini ukawa huna akili, ufahamu wala uelewa wa mambo hususani sheria. Ndivyo alivyo Patrobas Katambi. Ni kiongozi na waziri lakini ni mjinga!!

Ukitaka kupata ufahamu zaidi, fuatilia interview hii mpaka mwisho. Peter Madeleka ana udhaifu wake kama binadamu. Lakini, hapa amefanya vizuri sana. Watu wengi tumemwelewa!

kwamba tupoteze muda kumskiliza wakili mlevi?🐒
 
Ukishachagua upande huwezi kumuaminisha chochote wa upande mwingine.
 
kwamba tupoteze muda kumskiliza wakili mlevi?🐒
Umeshapoteza tayari...

Lakini Mimi nakuambia, hongera umeutumia muda wako vyema kujifunza ili kuondoa ujinga wako..

Naamini sasa unaelewa kuwa, tuna viongozi wa serikali wajinga na wasio na akili..

HEBU FUATILIA LUGHA GONGANA ZA VIONGOZI WAKO👇​
Waziri Patrobas Katambi: Tuna tishio la amani katika nchi, serikali inasitisha mikutano ya kisiasa ya vyama vyote nchini

BAADA YA MUDA​
Waziri Patrobas Katambi: Nchi iko shwari, tunawaalika watalii na wawekezaji kuja kuwekeza Tanzania..

HUKO KWA DPP na POLISI:​
Nchi inakabaliwa na ukosefu wa amani. Tumekamata MAGAIDI zaidi ya 130 kwa makosa ya UGAIDI. Watu 63 wamefikishwa mahakamani kwa makosa hayo ya ugaidi😭😭😭😭.

BAADA YA WANANCHI KUSHANGAA NA KUONA DRAMA HII NA KUIPONDA SERIKALI ISIYO NA MSIMAMO:​
Patrobas Katambi Waziri wa Mapolisi: Nchi iko shwari, amani tele ila Kuna viashiria vya ugaidi kwa hiyo Wana michezo, watalii na wawekezaji njooni kutembelea Tanzania 🤪🤪🤪🤔🤔...!!

##Kwa akili na ufahamu wako wewe Tlaatlaah, hivi unaweza kui - describe vipi serikali yenye viongozi wa namna hii...??

##Je, ni ujinga, kukosa akili au ni kuchanganyikiwa kwa sababu ya damu za maelfu ya watoto na kinamama wasio na hatia mlizomwaga kwa kuwapiga kwa risasi 29/10 na siku zilizofuata..?

##Kama wewe una akili, hauko kama viongozi wako hawa, utakuwa very honest kuukiri ukweli huo👆👆
 
Back
Top Bottom