NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,391
hapo ndo alipoharibu,na jamaa katulia zake,watu wenye maumivu huwa ndo wanaochafua wenzao maana bado wanakuwa na maumivuJide ukimwona saivi ni kama mtu anayepungukiwa kitu fulani ila anashindwa kukicover....Hakuwa mtu wa kujichanganya kiivo ila leo usishangae anakupigia hodi kwako aje mpige story.
Yani namna alivyomsema Gadner sijapenda kabisa ameongea kijinga sana, labda anahisi itampunguzia maumivu moyoni maana kumuacha mtu ambae bado unampenda na amekuwa zaidi ya mume sikia tu kwa wenzio.
All in all maisha ya mwenzie bado yanaendelea labda alifikiri atakwama.
Matokeo ya kutumia pesa kupata wanaume ndo haya. Gadna roho yake ilikuwa kwa Fauzia, secretary wa
Joseph Kusaga. Gadna pale alikuwa kafa kaoza and it was real love sababu Gadna hakuwa na kitu na
Fauzia alikuwa kasecretary tu.
Akaja Jide na mihela yake pakawa hapakaliki. Gadna akamwacha Fauzia akaenda kwa jide coz of money but
after few months akaona hawezi ishi bila Fauzia akarudi tena kwa Fauzia
wakaendelea na mapenzi yao ya kimaskini.
After few months akaona mapenzi bila hela sio matamu sana akaona bora aende kwenye hela akarudi tena kwa Jide.
Hapa naongelea around 2002 hivi jamani.
Clouds fm palikuwa hapakaliki ni machozi na ngumi tu. Jide alikuwa akimuona Gadna na fauzia analia mpaka kamasi zinamtoka tena mbele
za watu na akipata mwanya
anamrukia Fauzia anamchapa kama kamzaa kisa Gadna.
Gadna alikuwa anashindwa kuwa na uamuzi maana
one side kuna pesa, the other side ndo roho yake ilipo. Kuna siku nakumbuka enzi za Blue palms Jide alimkuta Gadna na Fauzi hapo, Gadna akawa anajifanya kama hamuoni Jide
vile yupo busy na malovey dovey na Fauzia. Jide aliangua kilio mbele za watu kama kafiwa tena kipindi hiko ndio video ya machozi aliyo act
Frank Gonga imetoka.
akawa anamtuliza Jide asianzishe vagi, for some reason Jide akamsilikiza Frank sababu ni Mkurya mwenzie. Jide kateseka na Gadna
even before ndoa,
toka wanadate ilikuwa ni relationship ya mateso ila
aliamua kungangana na kumuhonga Gadna. Like always, in the end money
won and Gadna married JIDE.
Problem is he never fell in love with her alikuwa pale kimaslahi na alikuwa anawaambia watu hana stimu kabisa na Jide ndo maana alikuwa anatia tia nje kila siku.
Lesson to learn today: money cant buy you love. Happy Valentines wana Jf
Kumbe mnajijua na mnafanyaga kusudi eeh...?
Bora yeye kaondoka, wanawake wengine wakichoka vituko wanaamua moja tu.
Fanya vurugu zako, siku akichoka unapelekwa kwenye nyumba ya milele.
Jide ndo zake,atamchafua kama alivyofanya kwa mawingu fm,jamaa atumie tu busara asijibu mapigo,maana akikaa kimya ndo atakavyomzima Jide,just wait and see atamtungia wimbo.Unajua Jide ni mkorofi sana daa yani hapo kashahamua liwalo na liwe yuko tayari kwa vita nyingine! Unajua mimi mwenyewe sijapenda Jide kuyaongelea hayo lakini niligundua Jide ana mzigo mkubwa na kuanzia kichwani hadi moyoni pengine huu ndio mwanzo wa kupunguza mizigo!
Kwa mtu mwenye akili unaelewa Jide ni mwanamke mwenye matatizo na mbinafsi.Angalia maisha ya Jide ya maugomvi na visasi unapata picha Gadner alikuwa na wakati mgumu sana. Gadner akae kimya sababu hakuna sababu ya kumjibu wenye hekima wanaelewa nani ni mpuuzi kati yao.Kwa nini anyamaze tu ilhali kuna watu wanaamini kabisa alichokiongea huyo mwanamke kuwa ndo ukweli wenyewe wakati huenda si kila kitu alichokisema ni cha kweli?
Matokeo ya kutumia pesa kupata wanaume ndo haya. Gadna roho yake ilikuwa kwa Fauzia, secretary wa
Joseph Kusaga. Gadna pale alikuwa kafa kaoza and it was real love sababu Gadna hakuwa na kitu na
Fauzia alikuwa kasecretary tu.
Akaja Jide na mihela yake pakawa hapakaliki. Gadna akamwacha Fauzia akaenda kwa jide coz of money but
after few months akaona hawezi ishi bila Fauzia akarudi tena kwa Fauzia
wakaendelea na mapenzi yao ya kimaskini.
After few months akaona mapenzi bila hela sio matamu sana akaona bora aende kwenye hela akarudi tena kwa Jide.
Hapa naongelea around 2002 hivi jamani.
Clouds fm palikuwa hapakaliki ni machozi na ngumi tu. Jide alikuwa akimuona Gadna na fauzia analia mpaka kamasi zinamtoka tena mbele
za watu na akipata mwanya
anamrukia Fauzia anamchapa kama kamzaa kisa Gadna.
Gadna alikuwa anashindwa kuwa na uamuzi maana
one side kuna pesa, the other side ndo roho yake ilipo. Kuna siku nakumbuka enzi za Blue palms Jide alimkuta Gadna na Fauzi hapo, Gadna akawa anajifanya kama hamuoni Jide
vile yupo busy na malovey dovey na Fauzia. Jide aliangua kilio mbele za watu kama kafiwa tena kipindi hiko ndio video ya machozi aliyo act
Frank Gonga imetoka.
akawa anamtuliza Jide asianzishe vagi, for some reason Jide akamsilikiza Frank sababu ni Mkurya mwenzie. Jide kateseka na Gadna
even before ndoa,
toka wanadate ilikuwa ni relationship ya mateso ila
aliamua kungangana na kumuhonga Gadna. Like always, in the end money
won and Gadna married JIDE.
Problem is he never fell in love with her alikuwa pale kimaslahi na alikuwa anawaambia watu hana stimu kabisa na Jide ndo maana alikuwa anatia tia nje kila siku.
Lesson to learn today: money cant buy you love. Happy Valentines wana Jf
Ya Jide unayajua?? yeye kama kamuacha mbona ndio anarudi kulilalia mitandaoni, ye si alikuwa right kwa kila kitu unatua mzigo lakini bado mzigo unakusumbua lazima kuna tatizo.
Gardner naye kauliza kwenye page yake ya IG amjibu huyo anayejifanya malaika?
Lets wait for another episode..
Too bad watu wanafunguka kuwa jama alikuwa ana m...Jdee 0713..duu I think Jaydee mshauri wako aliyekwambia umchane Gardner amekupotosha maana tutasiakia mengi sana mwaka huu about you..
Kwa mtu mwenye akili unaelewa Jide ni mwanamke mwenye matatizo na mbinafsi.Angalia maisha ya Jide ya maugomvi na visasi unapata picha Gadner alikuwa na wakati mgumu sana. Gadner akae kimya sababu hakuna sababu ya kumjibu wenye hekima wanaelewa nani ni mpuuzi kati yao.
Huyo mwanamke ni mshari sana.
Keshagombana na wabongo fleva wenzake, keshagombana na mwimbaji au waimbaji wake wa Machozi Band, keshagombana na Ruge, Joe Kusaga, na Clouds Media Group, sasa kahamishia bifu kwa mumewe wa zamani.
That woman got major issues.
kweli kabisa copper nahisi!!akupata mshauri mzuri!!kingine kwenye ndoa mnapoaana nasemakeanyie amjaoona ukiingia kuna kunaishimilele ama kutoamilele!!jiwekesawa jipange maishalazima yaendelee mungu awatie nguvu waishi kwaupendo aijalishi wakopande!!!!zipijay dee apambane na yajayo, yaliyopita imebaki story hamna kitu material hapo. Gadner songa mbele, usikatishwe tamaa na mambo ya mtalaka wako. Hiyo chapter imefungwa maisha lazima yaendelee.
mengine ongeza akiliyakonawweweenasaha nzuri lakini uandishi kichefuchefu!! Tulia uwasilishe maoni yako kwa ufasaha ueleweke kwa wadau!