masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Cc frola mbasha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwa akili yake anasema nimelikomesha, ila kuna siku atakuja kuona kumbe haikutosha....Usicheze na kupenda!Tabu ya wanawake ni kwamba atafanya kitu akiwa na mapenzi mazito kwako lakini yakiisha atakudhalilisha ili uonekane huna maana, Huyu Jide hakuwa na sababu ya kusema et hatujaachana ila nimemuacha ili tuseme kuwa Gadner alikuwa submisive kwa Jide because of love, wkt ukweli unajulikana kwamba yeye ndo ameforce king, Alilo fanikiwa ni kumdharirisha mwenzie kwamba alikuwa anatembelea magari yake na kuhonga hata kama ni kweli
Talaka kwanza sio uadui, mwaweza kupeana talaka kwa sababu mnazoziona nyinyi wenyewe kuwa ni za msingi na bado mkaendelea kualikana Lunch mkiwa na marafiki na vicheko na kuheshimiana kukaendelea kama kawaida. Aliyekuwa mumeo au mkeo kwa miaka kadhaa kisha mkaachana ni wa kumheshimu sana kwani lazima anajua siri nyingi sana zako za mwili na tabia kuliko binadamu mwingine hapa duniani.
Nionavyo unashida yaufahamu wakuelewa!!!Fanya mapping ukoowenu!!macho usingeandika hiki ulichaondika!!no IQ yako yakuboost chk navitunguusaumu vinasaidia kujazaufahamuNahisi nina matatizo ya macho mwenzenu,au labda huu mwandiko?
Ndoa zina mitihani sana wandugu.
Tusiishi kusameheana pale tunapokoseana ndani ya nyumba.
Hii ku-publicize mambo ya ndani ni aina fulanj ya kutojielewa???
Hawa wanawake watatu (Florah Mbasha, Jay Dee na Stara Thomas) week hii wametuonesha kuwa wanawake wengj hawalelewi ktk maadili mazuri na ndio maana wamefikia kufanya upuuzi waliofanya pasipo kujali nafasi zao kwny jamii inayowazunguka???
Hapo ndo akili yake ilipoishia kufikiria MkuuHapo kwa akili yake anasema nimelikomesha, ila kuna siku atakuja kuona kumbe haikutosha....Usicheze na kupenda!
Makubwa sana labda kwakuwa ni star hayaoni ila mwanamke wa hiv ni hatari sana kwa afya ya mapenzJide ana matatizo
mengine ongeza akiliyakonawwewee
OK kwa wanaonifahamu nahisi nimashahidi was hili!!MNAMO 2005 NILIOA BINTI WA KIHAYA!!AKAJAKUNILETEA MAUZAUZA NDANIYAMWEZI SIITAJIKUWEKAHAPA NIMAMBOYANDANI KAMAVILE KUCHAPIWA SIRIYANDANI!!BIBIE NIKASHINDWA NIKAOMBAYAISHE NIKARUDIKUANZA MAISHAMAPYA!!!2006. JUN TUKAPEANA TALAKA!! 2007. NATOKA SWAZILAND USIKUHUOHUO NIMELALA GETO YAMAMAYANGU KIPENZI(RIP) NAPIGIWA SAA NANE!!USIKU!!KUANGALIA NAMBAYA XWIFE!! SIKUPOKEA!!MARAYAPILI ROHO IKASEMA POKEA!NIKAPOKEA NIKASIKIIASAUTIYAKE ANALIA ANAOMBAMSAADA ANAKUFA!!POPOTE NILIPO NIJE!!NIKAOMBA AMPE SIMU MTUMWINGINE NIONGEE NAE!!NIKAONGEA NAWALE WASHABIKI WA AJALI!!BANA BIBIEKAPAATA AJALI KUBWA TU HAPA KARIBU NAMLIMANI CITY!!MMH NIKAUMIA NIKAAMKA NIKAWASHA GARI!!BAHATI NILIKUWA NAKADIYAKE YA BIMA HATA BAADAYA KUACHANA!!NDUGU NILIPOFIKA NILIKUTA YEYE KAWEKWA PEMBENI NA BFRIENDWAKE YUKOHOI!!KAMA YUKOHUMU ATAKUWA SHAHIDI!!
MBAYA ZAIDI NIGARIYANGU NILIOMWACHIA !!ILIKUWA ROFF KABISA!!NIKAOMBA MMASAI AIANGALIE!!NIKABEBA YEYE NA BFRIENDD WAKE TO TMJ HOSPITAL!!NILIPOFIKA YEYE ALITUMIA KADI!!SHEMEJIYANGU AKA BFRIEND YYEYE ILIBIDI NIOMBE WATUMIE KADIYANGU MPAKA ASBH!!JAMAA AKASAFISHWA AKAPIGWA SINDANO ZA HAJA NKALETEWA BILI YAKE SAINI KARATASI ZA BIMA NIKASAINI!!!LEO AWE NASHIDA/SHEREHE YULE KAKA NIBESTYANGU INGAWA KILIKUJA MPINDIA MBELEYASAFARI!!!NAYO NI MAISHA!!SO HUJUI LINI XWAKO ATAKUSAIDIA WAPI!!NASEMA HILI MJUE!!AMTAKIWI KUWASILIANA SAWA!!LAKINI MEsICHAFUANE!!NAKAMA MNASHIDA !!RAHA JULISHANENI