Matokeo ya kutumia pesa kupata wanaume ndo haya. Gadna roho yake ilikuwa kwa Fauzia, secretary wa
Joseph Kusaga. Gadna pale alikuwa kafa kaoza and it was real love sababu Gadna hakuwa na kitu na
Fauzia alikuwa kasecretary tu.
Akaja Jide na mihela yake pakawa hapakaliki. Gadna akamwacha Fauzia akaenda kwa jide coz of money but
after few months akaona hawezi ishi bila Fauzia akarudi tena kwa Fauzia
wakaendelea na mapenzi yao ya kimaskini.
After few months akaona mapenzi bila hela sio matamu sana akaona bora aende kwenye hela akarudi tena kwa Jide.
Hapa naongelea around 2002 hivi jamani.
Clouds fm palikuwa hapakaliki ni machozi na ngumi tu. Jide alikuwa akimuona Gadna na fauzia analia mpaka kamasi zinamtoka tena mbele
za watu na akipata mwanya
anamrukia Fauzia anamchapa kama kamzaa kisa Gadna.
Gadna alikuwa anashindwa kuwa na uamuzi maana
one side kuna pesa, the other side ndo roho yake ilipo. Kuna siku nakumbuka enzi za Blue palms Jide alimkuta Gadna na Fauzi hapo, Gadna akawa anajifanya kama hamuoni Jide
vile yupo busy na malovey dovey na Fauzia. Jide aliangua kilio mbele za watu kama kafiwa tena kipindi hiko ndio video ya machozi aliyo act
Frank Gonga imetoka.
akawa anamtuliza Jide asianzishe vagi, for some reason Jide akamsilikiza Frank sababu ni Mkurya mwenzie. Jide kateseka na Gadna
even before ndoa,
toka wanadate ilikuwa ni relationship ya mateso ila
aliamua kungangana na kumuhonga Gadna. Like always, in the end money
won and Gadna married JIDE.
Problem is he never fell in love with her alikuwa pale kimaslahi na alikuwa anawaambia watu hana stimu kabisa na Jide ndo maana alikuwa anatia tia nje kila siku.
Lesson to learn today: money cant buy you love. Happy Valentines wana Jf
Mwalimu wangu alkmbiwa kwa style hiohio hadi sasa huu mwaka wa 16 ;-) ,mke wake hajarudi huwa tunamuona fb tu!!!!!,wanawake noma
Cc frola mbasha
Lazima nizingue !msikudesa MPAA nilihangaika kuelewanawatu waumizekichwaPdidy unaujumbe mzuri ila unazengua na maandishi yako
Nawewee nambashawakoulisema mahari kwenu ng'ombe wangapi ?
Lazima nizingue !msikudesa MPAA nilihangaika kuelewanawatu waumizekichwa
Mpwaaaa lazimaaa niwazingiuee hawawidesaaa chuoo!!wadese NA jf :yo:waumizekichwa baansMpwa we unazengua sana
kweli kabisa copper nahisi!!akupata mshauri mzuri!!kingine kwenye ndoa mnapoaana nasemakeanyie amjaoona ukiingia kuna kunaishimilele ama kutoamilele!!jiwekesawa jipange maishalazima yaendelee mungu awatie nguvu waishi kwaupendo aijalishi wakopande!!!!zipi
wakati serikali ikipunguzaikipunguza bei za mafuta na umeme wanatakiwa wapunguze nabei zq juice ya alovera na vitunguusaumu !!!!borakunyimwa umeme kuliko booster za ufahamu!!wenzio walikunywa utotoni we ulinyweshwa ukubwani. Alovera tenabaada ya mzazio kufwatwa nawalemabinti wa alivera ofisini else usingeweza hatakujibu kitu jfkaka rudi shule kwanza mbona hujui kuandika?unatupa shida sana kusoma uandishi wako@@@##$$/!!!
Ujasoma fill in the blanks???au ndionyie mnajaza johnceenerJamani hivi hata zile punctuation marks tulizofundishwa shule ya msingi tumezisahau? Uandishi gani huu? Hakuna nukta, space,mkato
Mimi ni shabiki wa Jide, lakini sikubaliani na uamzi kuanika mapungufu ya x wake kwenye mitandao ya kijamii.Dear sis
ukweli nimeumia leo kusoma mwananchi ukurasa watatu mzima unaweka majadiliano kuhusu maishayako na gadner!!sidhan kama ulikuwasawa ama ukupata msaada wa mawazo!!ndoa inapokufa mnabaki kilamtu na maishayake!!simjui gadner vile lakini aijaliishi alikuwa mlevi!kicheche na mlishaachana akuna hajayakusema magazetini ooh umemwacha wewee!!somatalaka inasema mmeachana!!!kama umefanikiwa kuipata
nimeongea hivi kwahuzuni kama mwanandoa!!mnapofikia kikomo chamaishayenu si vizuri kutkanana amakuaibishana magazetini!!leo uwezi amini basinililopanda mmoja kanunua gazeti
kasoma akaanza kukukandikia kweli!!!tukaamua wengine kusoma kuna ninii!ile niaibu!!kama ukupata wa kukushauri ilenifedheha kwenu yanikwako nakwake!!kumbuka hiyu kaka aliulizwa kipindi inaitwa mikasi gadner akaulizwa kuhusu ndoa hapo mlishaachana akaombahayo ni mamboyenuyandani!!!muulize mwongozaji salma atakuonyesha alichojibu
ndugu wapendwa hii nakwenu jf pia samahani kamammeona baadhiyamaswali yandoa najibu mkato maana ndoa ni wewe namumeoo!!huku tutakupa mimba!!!kuna mmmoja ameuliza anamiaka 9 amwelewi mumewe hata tukikuongezea 2 hutomwelewa malizana naetu huko huku utapata majibuya ajabu yasionwmsaada!!ni kweli mbele huko wamemjibu majibuya shinyaaa
jaydee najua amna watoto badomnaitaji kuheshimiana aijalishi mmeachana wapo leo walioachana na bado watoto wao waliozaa pandezote wanatmbeleana sembuse nyyie wenyeee!!wee!!kuachana ni matokeo tu usikatetamaaa aminiusiamini dd hawahawamagazeti wanakuja kukufyonza sikuwakikuona na gadner mnakumbatiana tena
maombiyangu kwamungu upendo uendelee juyenu aijaliishi kilamtu yukowapi anaishiwapi
OK kwa wanaonifahamu nahisi nimashahidi was hili!!MNAMO 2005 NILIOA BINTI WA KIHAYA!!AKAJAKUNILETEA MAUZAUZA NDANIYAMWEZI SIITAJIKUWEKAHAPA NIMAMBOYANDANI KAMAVILE KUCHAPIWA SIRIYANDANI!!BIBIE NIKASHINDWA NIKAOMBAYAISHE NIKARUDIKUANZA MAISHAMAPYA!!!2006. JUN TUKAPEANA TALAKA!! 2007. NATOKA SWAZILAND USIKUHUOHUO NIMELALA GETO YAMAMAYANGU KIPENZI(RIP) NAPIGIWA SAA NANE!!USIKU!!KUANGALIA NAMBAYA XWIFE!! SIKUPOKEA!!MARAYAPILI ROHO IKASEMA POKEA!NIKAPOKEA NIKASIKIIASAUTIYAKE ANALIA ANAOMBAMSAADA ANAKUFA!!POPOTE NILIPO NIJE!!NIKAOMBA AMPE SIMU MTUMWINGINE NIONGEE NAE!!NIKAONGEA NAWALE WASHABIKI WA AJALI!!BANA BIBIEKAPAATA AJALI KUBWA TU HAPA KARIBU NAMLIMANI CITY!!MMH NIKAUMIA NIKAAMKA NIKAWASHA GARI!!BAHATI NILIKUWA NAKADIYAKE YA BIMA HATA BAADAYA KUACHANA!!NDUGU NILIPOFIKA NILIKUTA YEYE KAWEKWA PEMBENI NA BFRIENDWAKE YUKOHOI!!KAMA YUKOHUMU ATAKUWA SHAHIDI!!
MBAYA ZAIDI NIGARIYANGU NILIOMWACHIA !!ILIKUWA ROFF KABISA!!NIKAOMBA MMASAI AIANGALIE!!NIKABEBA YEYE NA BFRIENDD WAKE TO TMJ HOSPITAL!!NILIPOFIKA YEYE ALITUMIA KADI!!SHEMEJIYANGU AKA BFRIEND YYEYE ILIBIDI NIOMBE WATUMIE KADIYANGU MPAKA ASBH!!JAMAA AKASAFISHWA AKAPIGWA SINDANO ZA HAJA NKALETEWA BILI YAKE SAINI KARATASI ZA BIMA NIKASAINI!!!LEO AWE NASHIDA/SHEREHE YULE KAKA NIBESTYANGU INGAWA KILIKUJA MPINDIA MBELEYASAFARI!!!NAYO NI MAISHA!!SO HUJUI LINI XWAKO ATAKUSAIDIA WAPI!!NASEMA HILI MJUE!!AMTAKIWI KUWASILIANA SAWA!!LAKINI MEsICHAFUANE!!NAKAMA MNASHIDA !!RAHA JULISHANENI
Mpwaaaa lazimaaa niwazingiuee hawawidesaaa chuoo!!wadese NA jf :yo:waumizekichwa baans