Junior Your SN frmTpdaydah nimekuelewa sana mkuu, kweli hatujui kesho yetu.... Ila kuna wakati x wako ndo anakuchunia kabisa so inakua hamna jinsi zaidi ya wew pia kuuchuna ila I don prefer that
ulisema mahari kwenu ng'ombe wangapi ?
wakati serikali ikipunguzaikipunguza bei za mafuta na umeme wanatakiwa wapunguze nabei zq juice ya alovera na vitunguusaumu !!!!borakunyimwa umeme kuliko booster za ufahamu!!wenzio walikunywa utotoni we ulinyweshwa ukubwani. Alovera tenabaada ya mzazio kufwatwa nawalemabinti wa alivera ofisini else usingeweza hatakujibu kitu jf
Umeooonaaa eeheee ukowapimpwaa natakankaP didy achana nao wanakuzingua
i connect u to the spirit of knowledge/understanding in jesus namenadhani mleta mada aliruka darasa la kwanza na darasa la pili, huenda huu ukawa ni uandishi mbovu zaidi humu jf toka mwaka huu uanze.
Dar es Salaam. Mwanamuziki nyota wa kike nchini, Lady Jaydee jana aliamua kuwaburudisha mashabiki wake kwa staili ya kipekee; kuzungumzia kuvunjika kwa ndoa yake na Gadner Habash.
Kwa muda mrefu kumekuwa na minong'ono kuwa wawili hao wametengana, lakini hakuna aliyekuwa tayari kuweka wazi kuhusu suala hilo. Hata hivyo, jana, Jaydee, ambaye jina lake halisi ni Judith Wambura aliamua kutoa ya moyoni, akisema kuwa kwa sasa ametengana rasmi na mtangazaji wa kituo cha redio cha E-fm cha jijini Dar es Salaam.
Jaydee ambaye wakati mwingine huitwa ‘Jide', kwa wiki moja sasa ameamua kujibu maswali mbalimbali kutoka kwa mashabiki wake kwenye mitandao ya kijamii. Kati ya maswali aliyoulizwa na mashabiki wake ni kama ni kweli ametengana na mumewe na ni sababu za kutengana.
Kupitia ukurasa wake wa instagram, mwanadada huyo alisema: "Nimemvumilia vya kutosha, kuhusiana na tabia zisizokuwa na nidhamu wala heshima ya ndoa na sasa imefika kikomo. Msanii huyo anayemiliki Machozi Band, alibadili picha ya wasifu ya mtandao huo na kuweka jicho linalotoa machozi na kidole kikivuja damu. Alisema kuwa yeye na Gadner hawajaachana kama ambavyo watu wanasema isipokuwa yeye ndiye aliyeamua kumuacha mwanamume huyo.
Hata hivyo, alipotafutwa kuzungumzia suala hilo, Gadner alisema: "Sina comment katika hilo."
Aliongeza kusema: "Aliyezungumza ni mtu mzima na amefanya juhudi kuzungumza alichozungumza. Ku-comment kwa kupinga au kukubali ni kuzidharau juhudi zake."
Meneja wa mwanamuziki huyo maarufu kama Rapa Wakazi, alisema kuwa kilichozungumzwa na kuandikwa na mwanamuziki huyo ni kati ya mwimbaji huyo na mashabiki wake, hivyo hakuna cha kuongeza. Meneja huyo alisema ingawa mwanamuziki huyo hakuhusisha uongozi wakati anaandika, lakini hayo ni mawazo yake na yabaki kuwa hivyo.
Wakati Habash akisema hayo, Jide aliamua kufunguka na kusisitiza kuwa hatarudi nyuma kwa uamuzi aliouchukua. Na hii ni sehemu ya majibu yake:
Swali: Tumesikia umeachana na mumeo kweli au si kweli?
Jide: Hatujaachana, nimemuacha.
Swali: Kwa nini umeachana/ umemuacha mumeo?
Jide: Nimeamua kutokana na kuwa ndoa inatakiwa iwe na maelewano, furaha, amani na upendo… ila kwa bahati mbaya vyote hivyo havikuwepo, sikuwa tayari kuendelea kuishi kwa maumivu huku nikipretend (kwa maigizo), ili kuridhisha jamii.
Swali: Huoni kama umejishushia heshima kuachana na mumeo?
Jide: Sioni hivyo ila naona nilikuwa najishushia heshima zaidi kuishi na mume asiye na heshima… amekuwa akiwapa mademu (vimada) magari yangu na kuyagonga wakati nipo safari, ukiachilia mbali vipigo. Kifupi ilikuwa ndoa ya mateso.
Swali: Baada ya kuachana unatarajia kuolewa tena?
Jide: Ni mapema kujihakikishia kuolewa na mwingine, ila haimaanishi kuwa sitopenda tena. Nahitaji kuwa makini zaidi kuchagua mtu sahihi wa kumpa moyo wangu.
Swali: Uliwezaje kuishi na mume mlevi namna ile?
Jide: Nilidhani angebadilika, nilikuwa natoa nafasi, iliposhindikana nikaona isiwe tabu, kila mtu aubebe mzigo wake. Ukizingatia ananizidi umri miaka mingi, alitakiwa yeye anielekeze zaidi kuliko mimi kumwelekeza maisha mtu mzima.
Swali: Uliwezaje kuondoka?
Jide: Nilipoamua iwe basi, niliondoka bila kubeba kitu, nikasafiri kwenda Marekani, nikakaa huko mwezi mzima kurefresh (kujiliwaza) na kujipima kama ninaweza kumove on (kuendelea)? Niliporudi Tanzania sikukanyaga tena nyumbani mpaka muda huu ninatype (kuandika) na kupost (kutuma) majibu haya. Kwa kifupi niliondoka bila kuaga sikuona sababu ya kuaga. Ahsanteni jamani, nafikiri nimejibu yote.
Jay Dee alichomoza kwenye anga za muziki baada ya kurudia kibao cha mwanamuziki nguli, Marijani Shabani cha "Zuwena" ambacho kilimpa umaarufu mkubwa.
Mwananchi Jumamosi | Februari14 2015
Dear sis
ukweli nimeumia leo kusoma mwananchi ukurasa watatu mzima unaweka majadiliano kuhusu maishayako na gadner!!sidhan kama ulikuwasawa ama ukupata msaada wa mawazo!!ndoa inapokufa mnabaki kilamtu na maishayake!!simjui gadner vile lakini aijaliishi alikuwa mlevi!kicheche na mlishaachana akuna hajayakusema magazetini ooh umemwacha wewee!!somatalaka inasema mmeachana!!!kama umefanikiwa kuipata
nimeongea hivi kwahuzuni kama mwanandoa!!mnapofikia kikomo chamaishayenu si vizuri kutkanana amakuaibishana magazetini!!leo uwezi amini basinililopanda mmoja kanunua gazeti
kasoma akaanza kukukandikia kweli!!!tukaamua wengine kusoma kuna ninii!ile niaibu!!kama ukupata wa kukushauri ilenifedheha kwenu yanikwako nakwake!!kumbuka hiyu kaka aliulizwa kipindi inaitwa mikasi gadner akaulizwa kuhusu ndoa hapo mlishaachana akaombahayo ni mamboyenuyandani!!!muulize mwongozaji salma atakuonyesha alichojibu
ndugu wapendwa hii nakwenu jf pia samahani kamammeona baadhiyamaswali yandoa najibu mkato maana ndoa ni wewe namumeoo!!huku tutakupa mimba!!!kuna mmmoja ameuliza anamiaka 9 amwelewi mumewe hata tukikuongezea 2 hutomwelewa malizana naetu huko huku utapata majibuya ajabu yasionwmsaada!!ni kweli mbele huko wamemjibu majibuya shinyaaa
jaydee najua amna watoto badomnaitaji kuheshimiana aijalishi mmeachana wapo leo walioachana na bado watoto wao waliozaa pandezote wanatmbeleana sembuse nyyie wenyeee!!wee!!kuachana ni matokeo tu usikatetamaaa aminiusiamini dd hawahawamagazeti wanakuja kukufyonza sikuwakikuona na gadner mnakumbatiana tena
maombiyangu kwamungu upendo uendelee juyenu aijaliishi kilamtu yukowapi anaishiwapi
Meneja wa mwanamuziki huyo maarufu kama Rapa Wakazi, alisema kuwa kilichozungumzwa na kuandikwa na mwanamuziki huyo ni kati ya mwimbaji huyo na mashabiki wake, hivyo hakuna cha kuongeza. Meneja huyo alisema ingawa mwanamuziki huyo hakuhusisha uongozi wakati anaandika, lakini hayo ni mawazo yake na yabaki kuwa hivyo.
Jikomboe babaina mana ni kweli wameachana hafadhari, cause me love Jide long long time sasa ni nafasi yangu
Sababu ya mm.kumuongelea yeye ni hiyo ya kutaka tuamini she's innocent ktk hili......huwezi panda miiba utarajie iote nanasi..
Gardner simuongelei coz jide knew kila kitu abt mitabia ya Gardner,ila akaamua tu kuforce mahusiano na hatimaye ndoa,huku amkimfanyia vituko mwanamke mwenzake(kweli adui ya mwanamke ni mwanamke mwenzake)
hicho tu.
Get ur fact right.G alikua ameachana na mkewe before hajawa na JD.mkewe walikua wanaishi mwanza akaachana nae akawa marioo wa yule mama mke wa mzungu.ndo alie mleta Dar.then akawa clouds akakutana na F then Jd.iyo ya kusema kamnyanganya mtu mume ni uzushi.walikua washaachana.Bora F angelaamika ingekua reasonable
upo wewe?
Mkuu inabidi tujisearch mioyo yetu,wife akitoka sasa ni mtetemeko wa roho mwanzo mwisho ,siku akirudi hiyo rukaruka yako yeye atadhani kwa kuwa umemmiss kumbe unafurahi hajaaga jumla!itabidi misafara yake aongozane na kiwifi chake tu kama kiko free kiwe kina ni update safari nzima lo!No, sio kicheche lakini haka ka style ka wanawake kuondoka ka wanaenda sokoni vile kumbe ndo harudi tena na huku kufunguka namna hii katatuweka wanaume kwenye wakati mgumu sana mwaka huu.
sababu kuna uzi mwingine na flora mbasha ye aliondoka na elfu mbili tu,kama yupo vile, kumbe huyoooooooo mpaka leo
10 tu na kamba zake shingoni
sawa mwezi wa sita nakuja
Nadhani mleta mada aliruka darasa la kwanza na darasa la pili, huenda huu ukawa ni uandishi mbovu zaidi humu JF toka mwaka huu uanze.