Exclusive: Jay Dee afunguka, atoa sababu za kuitosa ndoa yake


Na mm hapo nimemzungumzia F pia jinsi alivyopelekeshwa na jide...again nikuulize na wewe je waweza kubali olewa na mwanaume ambae unajua weakness yake ni cheating????
 

Aiseee basi mimi hio taasisi hainifai kabisa
 
Last edited by a moderator:

Ahsante kwa kuleta habari za Gadner, na I thought ni type ya a GOLD DIGGER fulani! Kiufupi ni likunguru la Zanzibar lisilofugika! Mpaka na vibibi vya kizungu lol!!!!! Kwani Hakuna namna nyingine ya kupata fedha mpk atumie mb...o kama mtaji?
 
She is ugly too.loyalty muhimu mnooooo.I handle my problems ( if you can't handle your sexual problem you need a counsellor)

Yaani wewe inaonekana na wewe ulivumilia miaka mingi kusema haya kwamba she's ugly????
 
mwanaume kuachwa na mke wako wa ndoa ni aibu na udhaifu mkubwa. Pole sana captain nafikir sasa ujiite mvuvi tu.

Baeleze baelewe! Kwani wengine hawafanyi ufuska? Lakini hawafanyi mbele za wake zao! Yeye alikua ni mwanaume asiye na adabu wala maadili wala mipaka! Inaelekea alikulia mtaani tu kama chokoraa fulani!
 
Haaaaaaaaaaa ngoja nikacheki mwenyewe..... amjibu tuone another side ya stori though swala la ukitombi inajulikana tu ni kitombi....

Hapo kwenye red, JD mwenyewe alilijua hilo kabla hata hajaamua kufunga naye ndoa na huenda ndicho kilichomfanya achanganyikiwe juu ya G; kutoka mwanamke wa Mwanza hadi kwa sekretary wa Kusaga. Iweje leo aone ni tatizo? After all kuwa kitombi ni kipaji, si wengi wanaomudu. JD was lucky enough!
 
Yaani wewe inaonekana na wewe ulivumilia miaka mingi kusema haya kwamba she's ugly????
Namvumilia kwani ananihusu nini?nimemuona 3 times live to be honest she is ugly tena anabahati alipata mtu
 
uko sahihi na cyn6 G ni mhuni wa asili na ndoa ya jide na eda ilianza kuyumba b4 mahusiano na jide
sema zigo la nnya likamganda jide
buy hobestly g ni kcheche

Ndiyooo ni lihuni la asili! Kuna wanaume wana adabu na maadili mpaka unawaonea wivu wake zao! Unasema mwenzetu hakika kapata mume na kiongozi mwema ktk maisha yake!
Hizi design za DJ G. duh ni sheeder!
 
She is ugly too.loyalty muhimu mnooooo.I handle my problems ( if you can't handle your sexual problem you need a counsellor)

Haaaa Natalia nimekushindwa lols...

Hiko ki point cha u ugly ulivyokijazania
 
Last edited by a moderator:

Hpo umesema kweli baada y kumwacha mkewe alihamia kwa rose mke wa mzungu then rose akahamia nae dar.huyo rose alikua na library ya movie pale jirani na shopperz plaza inaitwa tanrose
 
Watu wanatoa ushuhuda wa ndani kama walikuwa wanakaa nao nyumba moja. Jamani ndoa ni taasisi ngumu ukikariri au kuiga style ya ndoa nyingine utaumia ni kama chenga uwanjani jinsi anavyokuja mtu ndo unavyompiga chenga. Gadner alikuwa muungwana alipoulizwa swali na salama katka mkasi sasa busara hiyo jide pia angeitumia sasa kaeleza mabaya tu ya mwenzie ina maana hakuna mazuri aliofanya? nayo atujuze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…