Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,056
Get ur fact right.G alikua ameachana na mkewe before hajawa na JD.mkewe walikua wanaishi mwanza akaachana nae akawa marioo wa yule mama mke wa mzungu.ndo alie mleta Dar.then akawa clouds akakutana na F then Jd.iyo ya kusema kamnyanganya mtu mume ni uzushi.walikua washaachana.Bora F angelaamika ingekua reasonable
Na mm hapo nimemzungumzia F pia jinsi alivyopelekeshwa na jide...again nikuulize na wewe je waweza kubali olewa na mwanaume ambae unajua weakness yake ni cheating????