Exclusive: Jay Dee afunguka, atoa sababu za kuitosa ndoa yake

Lady jd kwa jinsi alivyojijengea heshma miaka mingi hapa bongo
Siamini kama hayo maneno yanatoka kinywani mwake hata km ni kweli gadner kamfanyia hivyo vituko.
Duh! Hata komandoo jide?
Hakuna tena wanawake karne hii.
 
Lady jd kwa jinsi alivyojijengea heshma miaka mingi hapa bongo
Siamini kama hayo maneno yanatoka kinywani mwake hata km ni kweli gadner kamfanyia hivyo vituko.
Duh! Hata komandoo jide?
Hakuna tena wanawake karne hii.

Ni kuchanganyikiwa mkuu, ni wazi kwa sasa anapitia wakati mgumu sana. Kwa nature ya Jide ni ngumu sana akapata bwana wakaelewana. Sioni cha ajabu sana alichofanya G ambacho wanaume wengine hatufanyi au wazee wetu hawakufanya lakini maisha yanaendelea.

Kama namuona vile commando.
 

Haaaaaaa thats good kama si kicheche Lol

Akiondoka style hiyo ujue kuna mengi umemfanyia kavumilia mwisho wake kachoka kaamua kusepa
 
Jide hongera kwa hilo just move on hakuna kupepesa macho kabisa Mara zote wanaume tunaanza wao wanamaliza
 




Always what goes around what comes around....jide alifikiri yeye maisha yatanyooka tuuuu!!!!payback is here!!!
 
daah yaani nilivyokuwaga nawaona kwenye diary nlidhani wanafuraha....kumbe.......
 
Kwanini unasema hana furaha...

hujapenda hivyo alivyomsema Gardner

Jide ukimwona saivi ni kama mtu anayepungukiwa kitu fulani ila anashindwa kukicover....Hakuwa mtu wa kujichanganya kiivo ila leo usishangae anakupigia hodi kwako aje mpige story.

Yani namna alivyomsema Gadner sijapenda kabisa ameongea kijinga sana, labda anahisi itampunguzia maumivu moyoni maana kumuacha mtu ambae bado unampenda na amekuwa zaidi ya mume sikia tu kwa wenzio.

All in all maisha ya mwenzie bado yanaendelea labda alifikiri atakwama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…