Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Mbona hujasema kuhusu kuombwa tigo?fungukaa...
Flora ndio kaombwa 0715, huyu kasema pombe na umalaya vimemkimbiza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hujasema kuhusu kuombwa tigo?fungukaa...
Yaani walioko ndani wanataka kutoka.., tulioko nje tunataka kuingia..
Heaven on Earth tupe source ya hii interview naona kama imeanzia kati.
Nenda bongo5 au kwenye account take ya IG
Lady jd kwa jinsi alivyojijengea heshma miaka mingi hapa bongo
Siamini kama hayo maneno yanatoka kinywani mwake hata km ni kweli gadner kamfanyia hivyo vituko.
Duh! Hata komandoo jide?
Hakuna tena wanawake karne hii.
Pamoja na yote Jide hana furaha.
No, sio kicheche lakini haka ka style ka wanawake kuondoka ka wanaenda sokoni vile kumbe ndo harudi tena na huku kufunguka namna hii katatuweka wanaume kwenye wakati mgumu sana mwaka huu.
sababu kuna uzi mwingine na flora mbasha ye aliondoka na elfu mbili tu,kama yupo vile, kumbe huyoooooooo mpaka leo
Jay Dee jua lishazama
Haaaaaaa thats good kama si kicheche Lol
Akiondoka style hiyo ujue kuna mengi umemfanyia kavumilia mwisho wake kachoka kaamua kusepa
It is crapy, action and reaction are equal and opposite yeye sia alimchukuwa mwanaume wa mwanamke mwenzie. Hana lolote yeye alivyo jiona ana fame akamuona bwana wake hana lolote na kumng'ang'ania mwanaume wa mwanamke wa mwenzake sasa anajifanya kwamba mwanaume ndio tatizo hata yeye pia tatizo. Kwanza hayo ni maneno ya upande wake anajitetea uweanda akiitwa mwanaume apo ata umbuka. Pia ujinga kusema kwa watu swala la mapenzi baada ya kuachana mbona hakusema wakati wa mapenzi motomoto
Unamaanisha??
Unamaanisha??
Kwanini unasema hana furaha...
hujapenda hivyo alivyomsema Gardner
huo msemo huwa unamaana ya kuzeeka my dia