Exclusive: Jay Dee afunguka, atoa sababu za kuitosa ndoa yake

Yaani walioko ndani wanataka kutoka.., tulioko nje tunataka kuingia..
sikutaka kuquot hapo juu kwenye maelzo yako nakumbuka miaka hiyo ilisemekana Gadner alikua na mke sijui kama ilikua kweli au udaku. Yalisemwa meengi kuwa Gadner aliacha mkewe kisa JD
 

Pamoja na hayo kumpiga mwanamke bado sijuelewa kabisa naona ni udhaifu mkubwa ..
 
Kumseduce mume wa mwenzako ni kumpora mwenzako pia.....I guess maana ya kupora au kuiba wewe ndo umeielewa hiyo ya furushi tuu???

Ulikuwapo wakati Jide anamseduce Gardner? Kwann siyo Gardner ndiye aliyemseduce Jide? Tena Gardner ndiye wa kupaswa kulaumiwa! Si muaminifu ni cheater & a liar! Alijua wazi ameoa na sheria inamfunga kwa mwanamke mmoja! Alianzaje kutoka na kuanza kutongoza wanawake wengine???
 

h stor ngebalance kama tungepata the other sde of the stoe, gadna nae aseme yake, may be jde alkua n sababu ya gadna kuchepuka kas hhcho au kwa namna moja ama nyngne alchanga kutokumarka kwa ndoa yake, unajua ndoa na mambo meng sana na l kuelewana n lazma wote mjshushe regardless nan kamzd mwenze ur,kpato, elmu,nk anyways asante kwa ubuyu
 

Yaani ni kweli kabisa unafiki ndiyo motto katika ndoa nyingi! Kwa nje unaweza kuona kama ziko sawa lakini ndani kunawaka moto! Yaani lawyer kula likes mingimingi!
 
pole jide. kwanza ni uvumilivu wa hali ya juu na inaonesha dhahiri Gadna ana tabia moja chafu sana adi kufikia kushika watu makalio wakati mkewe anasaka ugali duu hapo Jide alidharaulika sana na huyu jamaa na asipoangalia ataishia pabaya huyu mshkaji.
 
sikutaka kuquot hapo juu kwenye maelzo yako nakumbuka miaka hiyo ilisemekana Gadner alikua na mke sijui kama ilikua kweli au udaku. Yalisemwa meengi kuwa Gadner aliacha mkewe kisa JD

Yeah alikua na mke huko Mwanza wamezaa nae mtoto mmoja ni kweli kabisa... alivyokuja Dar akawa na mtoto Fauzia.. baadae Jide ko mpambano bado ulikuwepo kati ya baby mama wa Gardner na Jide mwenyewe...
 

Haaaaa my dear leo umechapia sehem nyingi kuandika Lols..

Kuna the other side of story kutoka kwa G.. maana hauwezi kusema Jay D ni saint kabisa katika ndoa na Gardner ndio mbaya completely.... so we are missing another side of the coin
 
khaa hyo ya kushika watu makalio wakati yupo jukwaani nimeipenda,move on jide life goes on
 

Happy valentine to you....
Nimeelewa aisseh, kweli life is all about pretending
 
Naona hii vita karibia inaanza upya G anauliza kama amjibu jide au lah! Very interesting!
 
Unapenda kusikia upande wa pili? G anauliza amjibu huyu anaye jiona malaika?

mh makubwa!!! kaulizia wapi tena? anyamaze tu maana wataonekana wote hawana akili. Mi naamini wote wana matatizo na ni busara pia kukaa kimya. Wengine tukisema yaliyomo ndani ya ndoa zetu!!! Jide na Gadner mbona watajiona wao wana afadhari.
 
mh makubwa!!! kaulizia wapi tena? anyamaze tu maana wataonekana wote hawana akili. Mi naamini wote wana matatizo na ni busara pia kukaa kimya. Wengine tukisema yaliyomo ndani ya ndoa zetu!!! Jide na Gadner mbona watajiona wao wana afadhari.

Yaa kauliza kuwa amjibu huyu anaye jifanya malaika aliye kosewa? Ningekuwa G ninge kaa kimya kabisa kujibishana na mwanamke tena kama Jide ni kama vita tuu! Maana hayato kwisha leo wala kesho akianza kumjibu!Naamini jide si malaika na yeye ana makosa yake lakini kujibishana nae ni kupoteza muda.
Jionee hapa!
Cc.
Heaven on Earth
warumi
Mtende
mwallu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…