Exclusive: Jay Dee afunguka, atoa sababu za kuitosa ndoa yake

Exclusive: Jay Dee afunguka, atoa sababu za kuitosa ndoa yake

Hizi ndoa ni shida mkishaishi pamoja kwa mda mrefu halafu wote mpo juu lzm mtaachana.Chunguza ndoa zinazodumu mara nyingi m/ke anakuwa housewife.
 
Duuu hakika dunia ina mambo mengi sana hasa linapo kuja swala la mahusiano..huyu dada pengine hakupendwa na G bali alikuwa anatumiwa tuu! Hizi tuhuma zina mdhalilisha sana G duu!

Lakini pia ni kweli ulio wazi Jide ana tatizo kubwa na kisaikolojia ni wazi kabisa hana furaha kabisa pamoja na kuachana na G maana tangu aanze kuonge hajawai kumaliza!

Hakika Jide nilikuwa namchukulia kama mwanamke jasiri sana na wakuheshimika lakini nilipo muona kakimbilia kwa mpiga ramli na kukubali kudanganywa hakika niliamini Jide ni mwanamke mwenye matatizo makubwa sana na ana hitaji msaada

Hata hivyo ni wazi alikuwa na haki ya kuachana na G.
 
Yaani maisha haya bhana....Leo hiii Jide ndio anaonekana victim na G ndo anabeba zigo lote la unyama na ufedhuli...
Lakini Jide huyu huyu ndo aliempoka mwanamke mwenzake mume na kejeli na dharau nyingi sana....haya yote yamesahaulika....au ndio kusema ya kale hayatoi harufu????
Jide kavuna alichopanda tena ashukuru mbegu aliyopanda imekawia sana kuota(au alikua akiikawiza).
What goes around..............
 
Jide hongera kwa hilo just move on hakuna kupepesa macho kabisa Mara zote wanaume tunaanza wao wanamaliza

Kweli kabisa! mnaanzaga wenyewe! Na siku hizi tumechange styles kwenye parking kule gorofani kigiza giza baada ya kutoka job! Hahaaa
 
Yaani maisha haya bhana....Leo hiii Jide ndio anaonekana victim na G ndo anabeba zigo lote la unyama na ufedhuli...
Lakini Jide huyu huyu ndo aliempoka mwanamke mwenzake mume na kejeli na dharau nyingi sana....haya yote yamesahaulika....au ndio kusema ya kale hayatoi harufu????
Jide kavuna alichopanda tena ashukuru mbegu aliyopanda imekawia sana kuota(au alikua akiikawiza).
What goes around..............

Hakuna formula hiyo! Mume kaporwa kwani ni furushi la nguo au? Mume kamkinahi mkewe kamuacha! Unataka kusema wanawake wote walioachwa au kuachana na waume zao wameliwahi kunyang'anya waume za watu? Whether umenyanganya au ni original kuachwa kupo tu!
 
Back
Top Bottom