Exclusive: Jay Dee afunguka, atoa sababu za kuitosa ndoa yake

Ndoa hii ilikuwa Dah!
Nakumbuka siku fulani, tulikuwa tuna issue na G pale Dodoma.
Sasa ilibidi tuondoke naye kwa kutumia gari yetu.
Tulimpitia kwake kule Kimara (yeye ndo alituelekeza pa kumkuta)
Tulivyofika pale tuliwakuta bibi na bwana wako katika veranda lao wanakunywa Savanah kwa furaha.
Cha ajabu baada ya kuingiza gari ndani, bibie alibadilika sana hata salamu zetu hakujibu aisee.
Kwa kununa aliingia ndani bila hata kumtakia mumewe safari njema.
Toka siku hiyo nilijiuliza sana maswali mingi mingi.
Af nilikuwa na Boss wangu ambaye ndo mlipaji.
Alishuka na tabasamu kuubwa nikajua dada atafurahi tumeingiza milioni kadhaa kwao lakini dah bosi wangu mkono ukabaki unaning'inia dada ndani bila salaam.
Ila tulipotezea hatukumuuliza G kulikon.
Bado sijaelewa mpaka leo dada kwa nn alifanya vile.
 
Gardner tangu siku ile walivokwidwa na askari wakiwa wamelewa na Ephraim Kibonde alikuwa ameshahama nyumbani kwa Jay Dee Mamndenyi:sly:

Kwahiyo baada ya jide kula kona marekani huyu baba hakuwa na mshiko wa kuendesha life akatimkia kwa mlezi mwingine ama
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo baada ya jide kula kona marekani huyu baba hakuwa na mshiko wa kuendesha life akatimkia kwa mlezi mwingine ama

Sikuwa najua kama Jide yupp Marekani, kitu pekee ninachojua ni kwamba tangu kipindi kile Gardner hakuwa akiishi Kimara na mke wake:sly:

What I know those guys (Kibonde na Gardner) bado wana utoto ingawa ni waty wazima na vioo vya jamii???

Ingawa bado namuona Lady Jay Dee ni mpumbavu alievunja ndoa kwa mikono yake mwenyewe!
 
Kavunjaje ndoa yake kwa mikono yake???
 
jide.jpg

Haya ni maswali na majibu kutoka kwa Komando Jide kama alivyopost kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Tunasikia umeachana na mume ni kweli au uzushi?

JIBU : Hatuja achana niliamua kumuacha

Kwanini umeachana/umemuacha mume?

JIBU : Nimemuacha kutokana na kuwa
Ndoa inatakiwa iwe na maelewano, furaha, amani na upendo. .. ila kwa bahati mbaya vyote hivyo havikuwepo , sikuwa tayari kuendelea kuishi kwa maumivu huku niki pretend ili kuiridhisha jamii.

Huoni kama umejishushia heshma kuachana na mume?

JIBU : Sioni hivyo, ila naona nilikuwa najishushia heshma zaidi kuishi na mume asie na heshma, anaeweza kutongoza na kushika wanawake makalio wakati mi niko jukwaani naimba.

Kuwapa mademu magari yangu waendeshe na kuyagonga wakati niko safarini . Ukiachilia mbali vipigo.
Kutembea na wahudumu wa restaurant yangu. Ushahidi ninao. …..niliwahi mkuta anawashika mapaja na akakiri kosa. bado kupigana na kuwatusi wateja pia. Kifupi ilikuwa ni ndoa ya mateso.

Baada ya kuachana unategemea kuolewa tena?

JIBU : Ni mapema kujihakikishia uolewaji mwingine, ila haimaanishi kuwa sitopenda tena. Nahitaji kuwa makini zaidi
Kuchagua mtu sahihi wa kumpa moyo wangu.

Kwanini usirudiane na mumeo?

JIBU : Siwezi kurudi nyuma tena, huwa nina misimamo thabiti. Mpk kuamua kuondoka na uvumilivu nilionao mjue ni maji ya shingo. …
When i say never, I mean Never.

Uliwezaje kuishi na mume mlevi namna ile?

JIBU : Nilidhani angebadikika, so nilikuwa natoa nafasi.
Iliposhindikana nikaona isiwe tabu, kila mtu na aubebe mzigo wake. Ukizingatia ananizidi umri miaka mingi, alitakiwa yeye anielekeze zaidi kuliko mimi kumuelekeza maisha mtu mzima.

Uliwezaje kuondoka?

JIBU : Nilipoamua kuwa na iwe basi, Nilitoka bila kubeba kitu.
Nikasafiri kwenda USA, nikakaa huko mwezi mzima ku refresh na kujipima km kweli ntaweza ku move on?
Niliporudi Tanzania sikukanyaga tena nyumbani, mpk muda huu nnapo type na ku post haya majibu.
Kwa ki fupi ni kuwa nili ondoka bila kuaga, sikuona sababu ya kuaga.

Asanteni jamani, nafikiri nimejibu yote.”

duuh gadner jaman mbna haindani na hata moja kati ya hayo yaliandikwa hapo?
 
Hii story ni ya zamani sana na ilishawahi kuwekwa humu.
 
Amkimbia asiye heshima utadhani yeye ana heshima!! ...anawashika makalio wakati yeye yuko jukwaani anaimba (na kukata viuno jukwaani sijui ndio heshima!!!?)
Maajabu ya chura kupaka poda.
 
Gadna aliweza kumshika yeye makalio wakiwa clouds akatulia hali akijua ni mume wa mtu yule, akanogewa wakafunga ndoa ajue hata mke wa kwanza aliumia kama yeye alivyo umia, hakujua kunguru hafugiki?! Aache kuaongelea haya atubu kwa Mungu wake#ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
Kwani akisema Tu kaachwa itabadilisha nini?
 
duuh gadner jaman mbna haindani na hata moja kati ya hayo yaliandikwa hapo?
Nadhani humjui G wewe wala usimtetee. Bora kamuacha. Halafu kachelewa mbona sana kumuacha, yaani angemuacha kitambo. Tuulize sisi wapenda starehe. Maana gazeti halitoshi
 
Ndi ndi ndi imebuma anatafuta kiki kwenye udaku.
 
MWANAMKE NDO HUACHWA, haijalishi yeye ndo alisema anamuacha, Gadner angeamua kusema HAUWEZI KUNIACHA, mchezo ungeishia hapo hapo, kama aliaema anamuacha alafu Gadner akaridhia basi ni Gadner ndo kamuacha yeye KISTAARAB, au ye ni SHEMALE siku hizi?
 
[emoji57] [emoji57] [emoji57] we uko dunia ya ngapi?, amka kumekucha nani kakudanganya mwanaume haachwi endelea kujiendekeza hivo hivo utakuja kuachwa mwisho uondoke na DVD
 
Back
Top Bottom