Exclusive: Maneno ya Diamond Platnumz kwa mashabiki wa muziki

Exclusive: Maneno ya Diamond Platnumz kwa mashabiki wa muziki

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
King of Afropop aliyeibuka kinara siku ya jana baada ya kuwagaragaza wasanii wenzake na kuibuka na ushindi wa hattrick yaani tuzo tatu huko dallas nchini marekani, aliamua kufunguka kuhusiana na support ya mashabiki wa muziki

Kwenye account yake ya instagram aliandika,

""(Usikubali unichukie tu pasipo kuwa na sababu za Msingi, eti kisa flani tu kakupandikiza Chuki....Haiwezi kusaidia Taifa letu na haiwezi kusaidia mimi kufeli kwangu, Maana M/Mungu anajua usafi, Upendo na Nidhamu iliyo Moyoni Mwangu......Ndoto na Lengo langu ni kuhakikisha nasi Mziki wetu unatanuka na kuwa Biashara ya uhakika kama wenzetu ili kuongeza ajira thabiti kwa vizazi vilivyopo na vijavyo.... leo hii kuna Mameneja, Madancers, Madj, mabloggler, Mabaunsa, Madesigners, producers hadi Wapiga picha tena wenye Majina makubwa na kuheshimika, lakini naamini ni kutokana na ukuaji wa sanaa ya Muziki wetu....Hebu tazama mtaani tuna Vijana wangapi wenye Uwezo Mkubwa wa kuimba?? lakini kutokana bado soko letu si kubwa ki hivyo, wanajikuta wanashindwa kutimiza ndoto zao...je Tusipo yatengeneza wenyewe Mazingira leo Atatutengenezea nani...???? Sisi ndio wana Mashariki na ni sisi ndio wakuujenga Mziki wetu kwa Kussuportiana na Kufanya kazi kwa Bidii ili Ukue na Kuheshimika Africa na Ulimwengu mzima....Tafadhali usiache kunipigia kura kwenye tunzo za mtvEMa Kama Msanii Bora Afrika kupitia link iliyo juu ya BIO yan)""

Zikiwa zimebaki takriban siku tatu mshindi wa category ya best african act tuzo za mtv ema kutangazwa, zitazofanyika Milan, Italia tar 25 mwezi huu kwa tuliomuelewa king of afropop tuendelee kupiga kura mara nyingi uwezavyo
 
Last edited by a moderator:
Samahani sana mdogo wangu Diamond

Kutokana wewe kuwa affiliated na watu wasiotaka mabadiriko hakika kamwe sitakupigia kura wala kununua kazi zako.

Kifupi umebadilisha nyimbo zako zimekuwa za kisiasa

Kawaombe hao unaowapigia debe wakupigie kura.
 
igwee hovyo,mi ukawa lakin dmond ndo mfalme WA afrika masharki,ufalme WA kba siuoni kwa nini?
 
Waaambie hao uliowabadikishia nyimbo ukawaimba kuwapamba wakupe kura mm nimrsha acha na sikupigiii
 
Waaambie hao uliowabadikishia nyimbo ukawaimba kuwapamba wakupe kura mm nimrsha acha na sikupigiii

Afrimma hukutoa hata tako, ila kachukuwa TUZO TATU!!!!!

NA HAPA SUBIRI, UENDELEE KUNYOOSHWA

TUNAOMKUBALI TUPO WENGI NA TUNAENDELEA KUPIGA KURA
 
Samahani sana mdogo wangu Diamond

Kutokana wewe kuwa affiliated na watu wasiotaka mabadiriko hakika kamwe sitakupigia kura wala kununua kazi zako.

Kifupi umebadilisha nyimbo zako zimekuwa za kisiasa

Kawaombe hao unaowapigia debe wakupigie kura.
Na hata yeye anajua watu kama nyinyi lazima mutakuwepo na hata ukiangalia uimara wake umejengwa zaidi kutokana na watu wa aina yenu. Na ndo maana kawaomba kama umeamua kumchukia mchukie kwa sababu (wewe umesema ni kwasababu za siasa labda baada ya uchaguzi utarudi kundini) ila siamini kama nawe ni katika wale wanaomchukia kisa yule dada aliyeachana naye kakuamuru umchukie.
 
mimi ukawa na nlikuwa namkubali kiba ila baada ya kumpigia magufuli kampeni nimerudi kwa diamond anayejulikana toka mwanzoni na uccm wake
down kiba up mond.
lazma kiba ajutie makosa yake
 
Tumia lugha nzuri Kidingi.
...usidhani hatukujui, tunakujua sana japo unakuja na ID fake.
 
Last edited by a moderator:
mimi ukawa na nlikuwa namkubali kiba ila baada ya kumpigia magufuli kampeni nimerudi kwa diamond anayejulikana toka mwanzoni na uccm wake
down kiba up mond.
lazma kiba ajutie makosa yake

Wala kiba hakuhtaj mtu km ww
 
Aache Maneno ya shombo,Kulikuwa na M* 9c kapotea kwenye ramani sembuse Domo?
 
Aache Maneno ya shombo,Kulikuwa na M* 9c kapotea kwenye ramani sembuse Domo?

hatukatai kuwa diamond ipo siku atashuka ila sio mpaka mtake nyinyi haters la hasha!mpka pale Mungu atapopenda na wakati wake utapofika.

halafua acha kufananisha fame ya diamond na ako ka mr.nice kako ambako enzi zake walikuwa wanamjua A.mashariki na Kati tu.
 
Back
Top Bottom