King of Afropop aliyeibuka kinara siku ya jana baada ya kuwagaragaza wasanii wenzake na kuibuka na ushindi wa hattrick yaani tuzo tatu huko dallas nchini marekani, aliamua kufunguka kuhusiana na support ya mashabiki wa muziki
Kwenye account yake ya instagram aliandika,
""(Usikubali unichukie tu pasipo kuwa na sababu za Msingi, eti kisa flani tu kakupandikiza Chuki....Haiwezi kusaidia Taifa letu na haiwezi kusaidia mimi kufeli kwangu, Maana M/Mungu anajua usafi, Upendo na Nidhamu iliyo Moyoni Mwangu......Ndoto na Lengo langu ni kuhakikisha nasi Mziki wetu unatanuka na kuwa Biashara ya uhakika kama wenzetu ili kuongeza ajira thabiti kwa vizazi vilivyopo na vijavyo.... leo hii kuna Mameneja, Madancers, Madj, mabloggler, Mabaunsa, Madesigners, producers hadi Wapiga picha tena wenye Majina makubwa na kuheshimika, lakini naamini ni kutokana na ukuaji wa sanaa ya Muziki wetu....Hebu tazama mtaani tuna Vijana wangapi wenye Uwezo Mkubwa wa kuimba?? lakini kutokana bado soko letu si kubwa ki hivyo, wanajikuta wanashindwa kutimiza ndoto zao...je Tusipo yatengeneza wenyewe Mazingira leo Atatutengenezea nani...???? Sisi ndio wana Mashariki na ni sisi ndio wakuujenga Mziki wetu kwa Kussuportiana na Kufanya kazi kwa Bidii ili Ukue na Kuheshimika Africa na Ulimwengu mzima....Tafadhali usiache kunipigia kura kwenye tunzo za mtvEMa Kama Msanii Bora Afrika kupitia link iliyo juu ya BIO yan)""
Zikiwa zimebaki takriban siku tatu mshindi wa category ya best african act tuzo za mtv ema kutangazwa, zitazofanyika Milan, Italia tar 25 mwezi huu kwa tuliomuelewa king of afropop tuendelee kupiga kura mara nyingi uwezavyo

Last edited by a moderator: