Exclusive: Mastaa wenye nguvu zaidi Afrika Mashariki - 2015

Exclusive: Mastaa wenye nguvu zaidi Afrika Mashariki - 2015

hyo orodha isiyo na chembe ya research...
 
Me hata sishangai, hawa si ndio huandaa tuzo za watu...
 
Teh Teh Hivi Vannesa Mdee ana nguvu gani?
 
Mbona mnapingana na ukweli? Wewe uko hapa unapinga Wema so star Mwenye nguvu ila mtoto wako Wa mwaka mmoja anajua Wema anaexist duniani.... Huwezi wataja mastar east africa bila kumtaja wema sepetu. So kataa ila huo ndio ukweli.
 
wema mambo vp
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh hata ya Wema na Vannesa kuwa kweye hii list bado sijaelewa kabisa kinacho pimwa kama ni mafanikio au idadi ya mashabiki?

Mhh kwa wema na vanesa na alikiba bado sana, bora wangemuweka jide comando
 
Watoe
1. Ali Kiba
2. Vanessa Mdee
3. Eddy Kenzo
4. Jaguar
5. Lupita Nyongo
6. Iddriss Sultan

Hao hawana nguvu yeyote.
List yangu:
1. Diamond Platnumz
2. Wema Sepetu
3. Zari Zarina
4. Jose Chamilione
5. AY

Wema ana nini labda? Mana kama umaarufu unaishia instagram, na wala hana rekodi nzuri aliyowahi.kuifanya kwenye film au urembo ikamfanya awe kwenye list, ni mara kumi wangemuweka monalisa aiseh
 
Kweli mkuu hii list haina maana. Kuna vitu vingi sana ilibidi waangalie sio Instagram tu" unaweza ukawa na ushawishi mtandaoni lkn kwenye jamii zero

HUyo wema jaman wamtoe, ata alikibia hafai kuwa kwenye list, idris, domo,flavy, millen, sauti soul, lupita, chameleon, zari
 
Mbona mnapingana na ukweli? Wewe uko hapa unapinga Wema so star Mwenye nguvu ila mtoto wako Wa mwaka mmoja anajua Wema anaexist duniani.... Huwezi wataja mastar east africa bila kumtaja wema sepetu. So kataa ila huo ndio ukweli.

Labda hujaelewa binamu, tunazungumzia mastaa wenye ushawishi na wenye mafanikio kwenye kazi zao, wema ana kazi gani? Kafanya nini mpaka wamuweke kwenye hii list, unaweza mpambanisha lupita na wema? Nini kilimtambulisha lupita? Kazi za filamu au scandal?, 'tuje kwa millen magese, tunajua hana umaarufu kama wema ila ameshafanya mambo mengi sana na makubwa kwenye tasnia ya urembo, kazi zake zinajulikana Africa nzima, vipi kuhusu wema sepetu?
 
lupita hakuwa nurtured africa for ur information. so kumuweka hapa unawaonea akina huddah. hata joti angekuwa ni mmarekani na shuhuli zake anafanyia nchi zilizoendelea angekuwa na mafanikio 1000 times better than where he he is now
 
umeacha kumweka Victor Wanyama mnamweka huyo kahaba!' wema anafahamika wapi! zaidi ya maeneo ya tandale tandale kwa mtogole!' mana ndio waangaliaji wazuri wa bongo muvi.
 
Back
Top Bottom