Power Mabula mbona hayupo kwenye hii list au siku hizi hana nguvu tena..
Mbona mnapingana na ukweli? Wewe uko hapa unapinga Wema so star Mwenye nguvu ila mtoto wako Wa mwaka mmoja anajua Wema anaexist duniani.... Huwezi wataja mastar east africa bila kumtaja wema sepetu. So kataa ila huo ndio ukweli.
Teh Teh hata ya Wema na Vannesa kuwa kweye hii list bado sijaelewa kabisa kinacho pimwa kama ni mafanikio au idadi ya mashabiki?
Watoe
1. Ali Kiba
2. Vanessa Mdee
3. Eddy Kenzo
4. Jaguar
5. Lupita Nyongo
6. Iddriss Sultan
Hao hawana nguvu yeyote.
List yangu:
1. Diamond Platnumz
2. Wema Sepetu
3. Zari Zarina
4. Jose Chamilione
5. AY
Kweli mkuu hii list haina maana. Kuna vitu vingi sana ilibidi waangalie sio Instagram tu" unaweza ukawa na ushawishi mtandaoni lkn kwenye jamii zero
Teh Teh Hivi Vannesa Mdee ana nguvu gani?
Mbona mnapingana na ukweli? Wewe uko hapa unapinga Wema so star Mwenye nguvu ila mtoto wako Wa mwaka mmoja anajua Wema anaexist duniani.... Huwezi wataja mastar east africa bila kumtaja wema sepetu. So kataa ila huo ndio ukweli.
Labda hujaelewa binamu, tunazungumzia mastaa wenye ushawishi na wenye mafanikio kwenye kazi zao, wema ana kazi gani? Kafanya nini mpaka wamuweke kwenye hii list, unaweza mpambanisha lupita na wema? Nini kilimtambulisha lupita? Kazi za filamu au scandal?, 'tuje kwa millen magese, tunajua hana umaarufu kama wema ila ameshafanya mambo mengi sana na makubwa kwenye tasnia ya urembo, kazi zake zinajulikana Africa nzima, vipi kuhusu wema sepetu?
wema mambo vp
Zumeacha kumweka Victor Wanyama mnamweka huyo kahaba!' wema anafahamika wapi! zaidi ya maeneo ya tandale tandale kwa mtogole!' mana ndio waangaliaji wazuri wa bongo muvi.