Exclusive: Matano aliyoyasema Alikiba kwenye interview na DSTV

Kama wanajua kua hawaelewi na wanahitaji kusaidiwa kiherehere cha nini ku-comment bila kuuliza ili wasaidiwe??!!

Sifa nao waonekane wamecomment....aisee kama sijui kitu ni bora nikae kimya kuliko kujiaibisha...
 
Haya poa ntakuitaa ila nna nyumba yangu napangisha mi staki kuishimo napenda upangaji sanaaa,,unaweza kupanga???

kwi kwi kwi kwi kwi kwiiiiii, na asiekuamini Dinazarde anatafuta kick, si ile nyumba yako uliomalizaga toka 2007???? ndio!!! uhamie ya nini sasa??? endelea zako kupanga mwaya.
 
Last edited by a moderator:
aisee bongo kuna majungu, ndo maana wajanja kina solo thang wamejiendea zao kwa malkia
 
kwi kwi kwi kwi kwi kwiiiiii, na asiekuamini Dinazarde anatafuta kick, si ile nyumba yako uliomalizaga toka 2007???? ndio!!! uhamie ya nini sasa??? endelea zako kupanga mwaya.

Hapana yangu mi tumepishana na kiba kidogo ni 2008
 
Last edited by a moderator:
mwaka jana alisema mjengo wake umekamilika atahamia soon na picha akapost kabisa raia tunachoshangaa ni leo anapokuja kusema nyumba yake imekamilika tangu 2007 which is which???

Wewe Heaven on Earth usiwe kimbelefront..

Nakumbuka nyandomo aliwah kutoa mapicha ya nyumba kwnye magazet na kusema ipo tabata,ina thamani ya mil60 kamjengea jokate..

Mda unaenda hata nyumba ya kuishi yeye hana,ebu tupe maelezo kdogo juu ya hilo kabla hujamgusa mfalme..
 
Last edited by a moderator:

Tunamalizia swimming pool jamani mweeee wabongo hamnaga dogo lol
 
Last edited by a moderator:
Hhhhha hivi mnakuaga wapiii
Kiba sio mnafiki sema ni mvivu tofauti na zamanii tusubiri tuone mambo yakee nowa
Mmh me nakumbuka kuna interview moja alisema hasikilizagi nyimbo za diamond , madai eti alifutaga mistari kwenye nyimbo yao! Sasaa nashangaa sasaivi anavosema mdogo mdogo ni moja ya nyimbo anazozipenda!:A S-confused1::A S-confused1:
 
Mmh me nakumbuka kuna interview moja alisema hasikilizagi nyimbo za diamond , madai eti alifutaga mistari kwenye nyimbo yao! Sasaa nashangaa sasaivi anavosema mdogo mdogo ni moja ya nyimbo anazozipenda!:A S-confused1::A S-confused1:

Hajawah kusema asikilizag nymbo za diamond..

Pengne ulihadthwa na aliekuhadthia alikuona -----,thats why
 
Mpwa Matola tunashukuru kwa taarifa kuwa una baba ana ghorofa Makongo.

mwaka jana alituambia mjengo umekamilika anahamia soon leo anasema mjengo ulikamilika2007

Teh teh teh njia ya muongo fupi, UKIWA MUONGO UWE NA KUMBUKUMBU
 
Last edited by a moderator:
Sasa video ya Mwana imetoka,bado mnatoa kasoro,afu haters bwana!!Keep on hating!!Ha ha ha!Pop it in! nifah atoto geniveros
 
Last edited by a moderator:
video imefanyika nje ya Tanzania,nje ya Afrika....?!!?....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…