Candymumie
Member
- Sep 13, 2014
- 88
- 50
Nyumba ya Kiba wewe kinakuwasha nini? Gadem mbululaz, debes tupus.
Hahahaaaaa......maybe, mbululaz, lemutuz u know
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba ya Kiba wewe kinakuwasha nini? Gadem mbululaz, debes tupus.
Kama wanajua kua hawaelewi na wanahitaji kusaidiwa kiherehere cha nini ku-comment bila kuuliza ili wasaidiwe??!!
Kama wanajua kua hawaelewi na wanahitaji kusaidiwa kiherehere cha nini ku-comment bila kuuliza ili wasaidiwe??!!
Haya poa ntakuitaa ila nna nyumba yangu napangisha mi staki kuishimo napenda upangaji sanaaa,,unaweza kupanga???
Alikiba ni mnafki sijawai ona!
Alikiba ni mnafki sijawai ona!
Alikiba ni mnafki sijawai ona!
kwi kwi kwi kwi kwi kwiiiiii, na asiekuamini Dinazarde anatafuta kick, si ile nyumba yako uliomalizaga toka 2007???? ndio!!! uhamie ya nini sasa??? endelea zako kupanga mwaya.
mwaka jana alisema mjengo wake umekamilika atahamia soon na picha akapost kabisa raia tunachoshangaa ni leo anapokuja kusema nyumba yake imekamilika tangu 2007 which is which???
Wewe Heaven on Earth usiwe kimbelefront..
Nakumbuka nyandomo aliwah kutoa mapicha ya nyumba kwnye magazet na kusema ipo tabata,ina thamani ya mil60 kamjengea jokate..
Mda unaenda hata nyumba ya kuishi yeye hana,ebu tupe maelezo kdogo juu ya hilo kabla hujamgusa mfalme..
Mmh me nakumbuka kuna interview moja alisema hasikilizagi nyimbo za diamond , madai eti alifutaga mistari kwenye nyimbo yao! Sasaa nashangaa sasaivi anavosema mdogo mdogo ni moja ya nyimbo anazozipenda!:A S-confused1::A S-confused1:Hhhhha hivi mnakuaga wapiii
Kiba sio mnafiki sema ni mvivu tofauti na zamanii tusubiri tuone mambo yakee nowa
Mmh me nakumbuka kuna interview moja alisema hasikilizagi nyimbo za diamond , madai eti alifutaga mistari kwenye nyimbo yao! Sasaa nashangaa sasaivi anavosema mdogo mdogo ni moja ya nyimbo anazozipenda!:A S-confused1::A S-confused1:
video imefanyika nje ya Tanzania,nje ya Afrika....?!!?....Yafuatayo ni mambo matano yanayomuhusu Ali Kiba ambayo
DStv.com kwenye Exclusive interview imeyapata, baada ya kukaa
nae na kumuuliza maswali mbalimbali.
1. Anasema amemaliza kuijenga nyumba yake toka mwaka 2007 na
ni kutokana na pesa za muziki, anasema kila mwenye kipaji cha
muziki akifanya juhudi lazima uchumi wake utabadilika.
2. Pamoja na kwamba amemaliza kujenga nyumba yake, bado
hajahamia mpaka leo ila ataanza kuishi ndani ya nyumba yake
baada ya kuoa ila kwa sasa anaishi mahali flani ambapo sio kwenye
nyumba aliyoijenga.
3. Nyimbo anazozisikiliza sasa hivi ni pamoja na Mdogo Mdogo ya
Diamond
Platnumz na Pesa ya Mr. Blue.
Je wajua tuzo za #CHOAMVA zinaendelea hivi sasa? Kuwapigia
kura Diamond Platmumz na wengineo tafadhali nenda hapa.
4. Timu ya watu wanaofanya nae kazi kama Team Kiba ni zaidi ya
watano.
5. Video yake mpya ya hit single ya Mwana hawezi kusema itatoka
lini lakini ameithibitishia DStv.com kwamba video hiyo Imefanyika nje ya Tanzania, nje ya Afrika
Source
Matano aliyoyasema Ali Kiba - News | DStv
Ndiyoooo!video imefanyika nje ya Tanzania,nje ya Afrika....?!!?....
video imefanyika nje ya Tanzania,nje ya Afrika....?!!?....