Exclusive-Militia wa Iraq waonya wanajeshi wa Marekani wataondoka 'katika majeneza' ikiwa Biden hatajiondoa

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Kiongozi wa wanamgambo wa Iraq wanaoshiriki katika muungano wa makundi ambayo yamefanya mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani na Israel ameiambia Newsweek kuwa vikosi vyake viko tayari kuongeza kampeni zao kwa kiasi kikubwa ikiwa Rais Joe Biden hatatimiza matakwa yao.

Kwa mujibu wa Sheikh Mohammed al-Tamimi, katibu mkuu wa Faylaq al-Waad al-Sadiq, wanachoomba ni kuondolewa kabisa kwa vikosi vya Marekani kutoka nchini mwao.

Chanzo: MSN
 
Kiongozi wa wanamgambo wa Iraq
Hapa kwa Mwarabu umeongozwa na :


mahaba


/mahaba/


hali ya kuingiwa moyoni na mtu au kitu na kukithamini zaidi ya vingine

mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani na Israel
Hapa kwa Mmarekani na Muisrael umeongozwa na :


chuki


/t∫uki/


1. tabia ya kutopenda, hasa watu au ya kuwa na roho mbaya


2. maneno ya kugombanisha watu


3. hali ya kukasirika


 
Mimi au chanzo cha hiyo habari?

Mimi Muislam. Waislam hatubagui mtu kwa dini yake, kabila yake, rangi wala mali yake.

Hoja yako ni mfu kwa Waislam.
 
Mimi Muislam. Waislam hatubagui mtu kwa dini yake, kabila yake, rangi wala mali yake.
Nafikiri unakiamini kitabu chako! Au hukiamini???


Surah Al-Maidah (5:51)


۞ يَـٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ لَا تَتَّخِذُوا۟ ٱلْيَهُودَ وَٱلنَّصَـٰرَىٰٓ أَوْلِيَآءَ ۘ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَآءُ بَعْضٍۢ ۚ وَمَن يَتَوَلَّهُم مِّنكُمْ فَإِنَّهُۥ مِنْهُمْ ۗ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَهْدِى ٱلْقَوْمَ ٱلظَّـٰلِمِينَ ٥١




51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.

Hoja yako ni mfu kwa Waislam.
Haya tetea hoja yako huku ukitumia akili yako na siyo ya kushikiwa.

 
Hivi mama, hawa mbona hawafiki, au wanachimba dawa
Waturuki na Urusi wapeleka majeshi ya Gaza

Tangu mwaka jana
 
wakristo na wayahudi hatuwabagui, ila hatuwezi kuwaamini au kuwafanya marafiki maana nyinyi ni wanafiki na hamtupendi kabisa, mnatuonea wivu na dini yetu nzuri !!! tofautisha na chuki,

mtu anaweza asiwe rafiki yako lakin hakuchukii
 
Usichokielewa nini hapo?

Netanyahu na Biden ni dini gani?
 
Mimi au chanzo cha hiyo habari?

Mimi Muislam. Waislam hatubagui mtu kwa dini yake, kabila yake, rangi wala mali yake.

Hoja yako ni mfu kwa Waislam.
Mmeacha lini kubagua mtu kwa dini yake? Joshua aliuliwa na magaidi ya Hamas sababu ya dini yake. Isis wamekata vichwa watu wengi tu sababu ya ubaguzi wa KIDINI,boko haram vile vile alshabab vile vile.
 
ila hatuwezi kuwaamini au kuwafanya marafiki maana nyinyi ni wanafiki na hamtupendi kabisa
Samahani, tumia akili yako, huyu mtu hayupo kwenye dini yako?? Hayupo kwenye familia yenu?. Hayupo
kwenye ukoo wenu?? Hayupo kwenye kabila lenu??


mnafiki


/mnafiki/


mtu anayesema kinyume na anavyotenda; mtu anayetoa ahadi kisha asitimize


mnatuonea wivu na dini yetu nzuri !!!
Huu ndiyo uzuri wa kuonewa wivu??

Surah Muhammad (47:4 QURAN)

فَإِذَا لَقِيتُمُ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ فَضَرۡبَ ٱلرِّقَابِ حَتَّىٰٓ إِذَآ أَثۡخَنتُمُوهُمۡ فَشُدُّواْ ٱلۡوَثَاقَ فَإِمَّا مَنَّۢا بَعۡدُ وَإِمَّا فِدَآءً حَتَّىٰ تَضَعَ ٱلۡحَرۡبُ أَوۡزَارَهَاۚ ذَٰلِكَۖ وَلَوۡ يَشَآءُ ٱللَّهُ لَٱنتَصَرَ مِنۡهُمۡ وَلَٰكِن لِّيَبۡلُوَاْ بَعۡضَكُم بِبَعۡضٖۗ وَٱلَّذِينَ قُتِلُواْ فِي سَبِيلِ ٱللَّهِ فَلَن يُضِلَّ أَعۡمَٰلَهُمۡ


4. Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu. Tena waachilieni kwa hisani au wajikomboe, mpaka vita vipoe. Ndio hivyo. Na lau angeli taka Mwenyezi Mungu angeli washinda mwenyewe, lakini haya ni kwa sababu akutieni mitihani nyinyi kwa nyinyi. Na walio uliwa katika njia ya Mwenyezi Mungu hatazipoteza a´mali zao.
 
Kafiri una mambo wewe

Hivi kanisa limeshakutafutia bwana wa kukuoa??
 
acha uongo quran haijasema ukristo ila wayahud na manaswala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…