Exclusive-Militia wa Iraq waonya wanajeshi wa Marekani wataondoka 'katika majeneza' ikiwa Biden hatajiondoa

Mimi au chanzo cha hiyo habari?

Mimi Muislam. Waislam hatubagui mtu kwa dini yake, kabila yake, rangi wala mali yake.

Hoja yako ni mfu kwa Waislam.
We unabagua waliosomea ujinga.
 
Itakuwa umefurahishwa mno na kauli ya magaidi wenzako
 
Du maagizo ya Allah hayo
 
acha uongo quran haijasema ukristo
Surah Al-Maidah (5:51)

۞ يَـٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ لَا تَتَّخِذُوا۟ ٱلْيَهُودَ وَٱلنَّصَـٰرَىٰٓ أَوْلِيَآءَ ۘ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَآءُ بَعْضٍۢ ۚ وَمَن يَتَوَلَّهُم مِّنكُمْ فَإِنَّهُۥ مِنْهُمْ ۗ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَهْدِى ٱلْقَوْمَ ٱلظَّـٰلِمِينَ ٥١

Sahih International

O you who have believed, do not take the Jews and the Christians as allies. They are [in fact] allies of one another. And whoever is an ally to them among you - then indeed, he is [one] of them. Indeed, Allah guides not the wrongdoing people.




وَٱلنَّصَٰرَىٰٓ- ( lnasaraawaٱ) : And the Christians




Sifahamu kiwango chako cha elimu, ila unaendeshwa na :


mhemko


/mhɛmkɔ/

hali ya kupandwa na hasira au hamu kubwa

 
"Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu."

Wale ambao si waislam hakika wana dhulumu nafsi zao.
 
"Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu."

Wale ambao si waislam hakika wana dhulumu nafsi zao.
 
Kitu gani usicho kielewa hapa,hivi unajua uzito wa KUFURU wewe,au una copy na kutuletea huku?
 
Mmeacha lini kubagua mtu kwa dini yake? Joshua aliuliwa na magaidi ya Hamas sababu ya dini yake. Isis wamekata vichwa watu wengi tu sababu ya ubaguzi wa KIDINI,boko haram vile vile alshabab vile vile.
Hivi wanayo fanya wa MAREKANI mnayaona ama mmeweka PAMBA masikioni,kwani hao si juzi tu wametuletea CORONA,haya na wale wanao kuja kunyonya MALI ZETU AFRICA kisha wanapeleka nchini kwao ni wakina nani?,hebu ntafutie NCHI YOYOTE YENYE DOLA YA KIISLAM KAMA WANAFANYA MAMBO HAYO.
 
Hivi unawajua vizuri watu wanao KUFURU wewe?,

Hivi wanayo fanya wa MAREKANI mnayaona ama mmeweka PAMBA masikioni,kwani hao si juzi tu wametuletea CORONA,haya na wale wanao kuja kunyonya MALI ZETU AFRICA kisha wanapeleka nchini kwao ni wakina nani,haya na hawa wanao eneza NDOA ZA JINSIA MOJA pia ni wakina nani,haya na yule kiongozi anae wa bariki WAFANYA UCHAFU WA JINSIA MOJA pia wakina nani?,SASA HAO NDIO MIONGONI MWA WATU WALIO KUFURU.

Hebu ntafutie NCHI YOYOTE YENYE DOLA YA KIISLAM KAMA WANAFANYA MAMBO HAYO.
 
Hivi wanayo fanya wa MAREKANI mnayaona ama mmeweka PAMBA masikioni
haya na wale wanao kuja kunyonya MALI ZETU AFRICA kisha wanapeleka nchini kwao ni wakina nani
haya na yule kiongozi anae wa bariki WAFANYA UCHAFU WA JINSIA
Hebu ntafutie NCHI YOYOTE YENYE DOLA YA KIISLAM KAMA WANAFANYA MAMBO HAYO.

Tuanze hapa kwanza:​


kufuru


/kufuru/


1.tamko au maneno ambayo ni kinyume na imani ya dini


2.dharau ya dini

Saudi Arabia to get first alcohol shop in more than 70 years​



 
KUFURU anaweza kufanya binadamu wowote,hakika sisi Binadamu nafsi zetu dhaifu sana,tunafanya makosa kwa kujua ama kutokujua ndio maana Pamoja na KUFURU tunazo fanya tunatakiwa tutubie Toba ya kweli.
Toba ni nini,ni dhana ya Kiislamu ya kutubu kwa Mungu kutokana na kufanya dhambi na maovu yoyote/ ni msimamo wa mtu kujuta dhambi na kwa hiyo kutaka kurekebisha alichoharibu kwa njia hiyo. surat Hud Aya 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…