Exclusive: Mkubwa Fella asema Yeye ndiyo humbebea Hirizi na Matunguri Diamond Stejini

Nimemskiza hapa FELLA. Na baadae Mh. Sixtus Mapunda nae akawa anaelezea Entrepreneurship na mambo ya siasa.

Ushirikina umeenea maeneo mengi. Soka. Siasa. Muziki. Bongo Movie. Na ndio maana sio tu kuendelea, hata kusogea hatusogei!
 
Hapo alipofafanua ndicho alicho maanisha....maana kama nduma zingekuwa zinapaisha kiasi hicho basi tungekuwa na wasanii zaidi ya 1000 wa level za Diamond...
 
Bahati nzuri sana ' Moto ' wangu wanaujua vilivyo. Nawasubiri waje na wahakikishe wamejipanga vizuri kwani GENTAMYCINE huwa ' sibipiwi ' na ' simcheleweshi ' Popoma yoyote yule anayejaa mwenyewe katika ' frame '.
Kaka unamhukumu diamond wakati alikiba nae ni walewale
 
hivi yamoto band wameishia wapi?

Hawakuzingatia ushauri wake wa ' Kishirikina ' na sasa ' Kwishnei '. Akiwapa Hirizi / Tunguri wazibebe wakiwa ' Stejini ' wao hawataki kaona ' wanamchelewesha ' na sasa kabaki tu kwa Mpenda ' Ushirikina ' mwenzie Diamond Platinum na sasa ' Ndumba ' zao zinaelewana sana kama Sumaku za South Pole na North Pole.
 
Kaka unamhukumu diamond wakati alikiba nae ni walewale

Acha uwongo na muogope Mungu wako hapo hapo ulipo Mkuu kabla ' hajakulaani '. Ali Kiba si ' Mshirikina ' na wala hata huo ' Ushirikina ' wenu Wewe, Mkubwa Fella na Ndugu yenu Diamond Platinum wala haujui. Halafu siku zote hata Sura za Watu huonyesha dhahiri matumizi ya ' Ushirikina '.

Hivi kwa Sura ya ' Uhendisamu boi ' ile ya Ali Kiba unadhani anahitaji kweli ' Ndumba ' ili kujaza Ukumbi anapokuwa anapafomu? Sasa angalia Sura ya Diamond Platinum nadhani ilivyo tu inajionyesha dhahiri kuwa anahitaji ' Ndumba ' ya Kufa Mtu ili ' Nyomi ' liwepo Ukumbini kwani hivi hivi anaweza akajikuta anaimba Yeye huku Mbuzi, Ng'ombe, Kuku na Bata wakimtizama badala ya Wanadamu.

Kwa post hii ya ' Kimakusudi ' na ' Kichokonozi ' najua sasa mtakuja rasmi na Mimi leo nina hamu sana ya ' Kuparurana ' nanyi na hivi Meneja wake / wenu Mkubwa Fella kathibitisha mwenyewe mubashara Clouds TV leo ' mtanikoma ' hakyanani Team Ndomo.

Na kitendo chake cha kwenda ' Kumshitaki ' mwana Dimpoz mwenzangu Ommy Central ndiyo kumenitibua na kunikasirisha kabisa juu ya huyo Mpuuzi wenu. Hivi mambo ya Chumbani tena ya Sirini Mwanaume uliyekamilika kweli kila siku asubuhi ' Mnara wako wa Babeli ' namaanisha Mkuyenge wako unasimama unaweza kumpeleka Polisi Mwanaume mwenzio kwa mambo ya Sirini / Faragha?

Amenichefua sana na nilikuwa namtafutia tu ' angle ' na hatimaye leo Mkubwa Fella amenianzishia. Namshukuru sana.

Team Ndomo mpo wapi?
 
Anifanyie ndumba nami nitoke kisanii

Kuna ' Ndumba ' zingine huwa zinawekwa katika ' Minara ya Babeli ' ya Kiume je upo tayari Mkuu Mkubwa akufanyie hivyo hivyo tu ili nawe uweze ' Kutusua ' kama Ndomo?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu una hasira nao kweli, wanakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WE MWENYEWE MSHIRIKINA TU,AU HUJUI MAANA YA USHIRIKINA NA UCHAWI???


HATA HIZO CHUKI ZAKO ZA KUAMINI UCHAWI BASI NAWE HUMOHUMOO
 
Nyi
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu una hasira nao kweli, wanakuja

Sent using Jamii Forums mobile app

Nawasubiri kwa hamu sana na nashangaa mpaka sasa hawajaja. Leo nitakula nao sahani moja ni nitawanyoosha vilivyo humu. Ndomo nilikuwa namuheshimu na namkubali sana Mkuu ila Ktendo chake cha juzi kumpeleka Central Police Baba yake wa Kambo Ommy Dimpoz kwa mambo ya Sirini / Faragha ndiyo yamenichefua mno na kuanza kumchukia.

Na sasa naanza pia kutilia mashaka ' Uanamume ' wake na kama hata ' Mnara wake wa Babeli ' umesimama imara. Na uzuri ni kwamba Meneja wake Mkubwa kabisa Mkubwa Fella leo kaweka hadharani kila kitu kuwa anamfanikishia sana ' Ndomo ' mambo yake mengi ya Kimuziki kwakuwa anatumia sana / mno ' Shiriki / Ndumba '.
 
WE MWENYEWE MSHIRIKINA TU,AU HUJUI MAANA YA USHIRIKINA NA UCHAWI???


HATA HIZO CHUKI ZAKO ZA KUAMINI UCHAWI BASI NAWE HUMOHUMOO

Ila huo ' Ushirikina ' wa Mkubwa Fella na anayemmaneji ' Ndomo hadi anawavutia Mashabiki maelfu Ukumbini bado sijaufikia kwani wenzangu watakuwa wapo zile levels ' zisizojulikana ' za Ushirikina / Ndumba hapa Ulimwenguni.
 
Diamond atabk kuwa juu tuh uliianz na mengii na mtakuj na ving still domo anatusua tuh....pole yko unasubr kubshn ujinga!!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
MCHAWI HAJISEMI WEWE,SEMA UKO GOOD KWENYE KUANDIKA UMBEA UNAFAA KUWA RIPOTA WA UDAKU.
 
Diamond atabk kuwa juu tuh uliianz na mengii na mtakuj na ving still domo anatusua tuh....pole yko unasubr kubshn ujinga!!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Naona wabeba ' matunguri ' na ' hirizi ' wa Ndomo Diamond Platinum sasa mmeamka na mmekuja. Naomba waamshe kabisa na Team Ndomo wenzio ili mje kwa wingi kwani ifikapo Saa 5 kamili muda mchache kutoka sasa nita log out ila mnamo Saa 8 kamili mchana huu hadi Saa 9 kamili alasiri ya leo nitarudi na nitakuwepo tena humu Jamvini JF ili kuja kuwajibuni vizuri. Naomba muyatumie vizuri haya masaa matatu ambayo nitakuwa sipo online muweze kujibu ' Hoja ' na nikija niweze kuzikabili vizuri.

Sasa ni rasmi GENTAMYCINE ni Team Kiba na Team Dimpoz. Diamond Platinum bye bye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…