Exclusive: Mkubwa Fella asema Yeye ndiyo humbebea Hirizi na Matunguri Diamond Stejini

Popoma kwny ubora wako......ww mbona sura lako bovu kama tako la kaoge na mtaani tumekuvumilia tu....kumbe na ww mshirikina eeeh mnajuana na washirikina wenzio......tutakuhamisha mtaa soon kumbe tunaishi na lichawi mtaani kwetu..!!!
 
kuwa team dai au kiba ni ww na maslahii yako ......mm sina timu kikubw ni kwmba domo anatusua kwaiy unajihangaisha kubishn ujinga...alaf njia ya mafanikio ina mambo mengiii hukum hutok kwa Mungu...na km umeumia xn dai ofisi yake ipo pale kijitonyma unawez kwend kumwambia aache hzo mambo.......maan misulii inakutoka kchz kwa upuuziii
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ila huo ' Ushirikina ' wa Mkubwa Fella na anayemmaneji ' Ndomo hadi anawavutia Mashabiki maelfu Ukumbini bado sijaufikia kwani wenzangu watakuwa wapo zile levels ' zisizojulikana ' za Ushirikina / Ndumba hapa Ulimwenguni.
Wabongo BANAAA,,oooohhh pambana ufanikiwe hayo ndo maushauri mnatoaga



Ukishafanikiwa Mara ooohh ndumba Mara sijui nn


Ujinga mtupu na imani za kishirikina zimetujaaa zaid ya washiriki WENYEWE wa USHIRIKINA



Wewe Jamaa hapo ulipo ushawahi si wengi tu wamekuloga ndo mana hufanikiwi




PAMBANA NA HALI YAKO
 
I like you u know
 
Wabongo kwa unafiki na uongo hamjambo...haya na wewe nenda karoge upate pesa na uanze kujaza hayo mashow kama utaeza...acha unafiki wa kuchafua watu...ukiona mtu anaamini uchawi basi nae ni mchawi tena alotukuka....
 
Muziki wa TZ unashikiliwa na Diamond ,Diamond akifa au akiacha kuimba TZ hatutapiga hatua yoyote ile ya kimuziki.

Hii ni sawa na marehemu kanumba alivyoondoka na tasnia ya filamu TZ ingawaje alipokuwa hai watu walimponda sana huku wakimshutumu mambo ya uchawi, free mason nk.
 
Mbona unatuchanganya sie ambae hatujasikia kupitia hiyo Clouds? Ulichosema ni hiki:
Mimi hasa jukumu langu ni kuhakikisha nabeba Silaha zangu za Kiutamaduni natembea nazo kila ambapo Diamond Platinum anaenda kufanya Show yake ili niweze kumvutia Mashabiki wengi na pia wazidi kumpenda.
Kwamba, yeye kazi yake ndo hiyo ya kubeba matunguri! Mara ghafla unageuka na kusema:
Akiwapa Hirizi / Tunguri wazibebe wakiwa ' Stejini ' wao hawataki kaona
Kwanini na hao asiwabebee basi?! Au kwanini asiwabebee akina Chege & Temba? Kwanini asiwabee Six Sisters?! Hayo yote ni makundi anayoongoza mwenyewe tofauti na kwa Diamond ambako alikaribishwa tu!

Na vipi kuhusu Pemba mbona hajaenda kama kazi yake ni kwenda kila Diamond anakofanya show?
 
Kwahiyo kumbe anahusika na mambo haya mbadala sio
 
Hili Fela jinga sana, mbona wakina Usher Raymond hawabebi Matunguli?
 
Lol, umeliamsha dude lisilojulikana.
Hawa fans wake watakutukana utaweza kuwakabili kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…