William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Sijasema wewe ni Godfrey Mwakikagile. Nimeuliza kama wewe ni Godfrey Mwakikagile. Au huoni tofauti hapo?
- Mkuu Julius sasa unaingia Ikulu ya magogoni, Bwa! ha! ah! ngoja nikaoengeze pops!
Respect.
FMEs!
Nasikia Mkapa alimtumia vijana nyumbani kwake waliompa kipigo kweli kweli.
Dr. Eduardo Mondlane alizikwa Kinondoni Cemetery February 1969. Watu wengi walihudhuria mazishi hayo. Wanafunzi wachache kutoka Tambaza tulikuwa miongoni mwao pamoja na mabalozi, viongozi wa serikali, na wapigania uhuru kutoka nchi za Afrika Kusini.
Bado mimi napata shida sana katika kujua kama ameiba kazi au vipi?? maana kama amefanya hivyo.basi ni kosa kuwa sana katika uandishi hata academia nyingi sanaShwari, kwanza shukrani kwa sababu umetupa somewhat the other side of the story and what is probably behind the story. Ukiangalia nadhani tatizo ambalo critic ameandika inahusiana na sentensi ambazo zinaonekana kuchukuliwa moja kwa moja toka kwenye hiyo pdf bila alama au dalili ya kuonesha kuwa siyo maneno ya mtunzi.
Niliwahi kuuliza hapa juu ya hotuba moja ya Mkapa ambayo kwangu naamini ilikuwa ni copy and paste ya hotuba ya Nyerere. Nyerere ya kwake ilikuwa na sehemu inayohusu "utanganyika" na Mkapa ya kwake ilikuwa ni kuhusu "Utanzania" wote wawili walikuwa wanazungumzia maadili yanayomtofautisha Mtanzania.
Labda swali ni je inatosha kutaja source kwa ujumla wake lakini kutounganisha sentensi unazotumia na source ile? Yaani, mtu atajuaje kuwa kauli fulani inatoka kwenye source fulani iliyotajwa mahali pengine bila kuzihusisha?
Aksante kwa ufafanuzi mkuu. Hapa nina swali, hivi Dr Eduardo Mondlane aliuawa sehemu gani Dar? Nilisoma tu sehemu kuwa alifariki kwa bomu ambalo alitumiwa kama barua/kifurushi kwa njia ya posta. Ila mwandishi hakusema ni sehemu gani. Kuna ukweli katika hilo? Unaweza kutufahamisha zaidi?
Wewe tena umetoa wapi habari hizi, Unajua kuna waandishi wengi sana Tanzania hivyo uje na dataz za kueleweka..deleted author.
..wrong info was posted
unaweza kuona jinsi gani waliweza fanya katika Taifa letuAliuawa nyumbani kwake Oyster Bay alipokuwa anafungua kifurushi hicho mezani. Nilisikia kifurushi hicho kilikuwa ni kitabu ambacho kurasa zake fulani zilikatwa ili kuficha bomu hilo lililolipuka na kumuua. Inasemekana kilitumwa na Portuguese secret service kutoka Japan to cover their tracks and evade suspicion kwamba kimetoka kwao. Others can confirm that but I heard from very good sources.
Intelligence service yetu in those days had an excellent reputation as one of the best in Africa - and may be in the whole world. Walikuwa macho sana lakini for some reason they missed that one. Nobody is perfect. Even major intelligence services in the world such as the CIA, the former KGB, M-15, Mosaad, Chinese Intelligence and others are not perfect.
Josh Michael said:Wewe tena umetoa wapi habari hizi, Unajua kuna waandishi wengi sana Tanzania hivyo uje na dataz za kueleweka
Hata mimi nilishangaa sana Kuona kuwa mzee Mwanakijiji ameleta habari kama hiyo na pia naona kama vile imetoka kwenye gazeti moja la huko Msumbiji na pia kama ndio hivyo Shwari anaweze kutusaidia pamoja na Mwanakijiji wote pamoja, jaribu kutazama sources ambayo Mzee Mwanakijiji ametoa ndio unaweza kuona, labda nifanye utaratibu wa kupata kitabu choteJosh,
..kuna habari nyingine tunasikia kwenye vilabu vya ulaka na wanzuki. tunazileta hapa jamii forums na ku-test kama ni za kweli au la.
..katika post yangu nilieleza kwamba sina uhakika na habari niliyoleta. nikaeleza bayana kwamba tumsubiri Shwari atakuwa na jibu la uhakika. sasa Shwari amekuja na habari tofauti na kile nilichosikia kwenye vilabu vya ulaka na wanzuki ndiyo maana nika-delete post yangu.
..SAMAHANI KAMA NIMEKUKWAZA.
Josh Michael said:Hata mimi nilishangaa sana Kuona kuwa mzee Mwanakijiji ameleta habari kama hiyo na pia naona kama vile imetoka kwenye gazeti moja la huko Msumbiji na pia kama ndio hivyo Shwari anaweze kutusaidia pamoja na Mwanakijiji wote pamoja, jaribu kutazama sources ambayo Mzee Mwanakijiji ametoa ndio unaweza kuona, labda nifanye utaratibu wa kupata kitabu chote