Aliuawa nyumbani kwake Oyster Bay alipokuwa anafungua kifurushi hicho mezani. Nilisikia kifurushi hicho kilikuwa ni kitabu ambacho kurasa zake fulani zilikatwa ili kuficha bomu hilo lililolipuka na kumuua. Inasemekana kilitumwa na Portuguese secret service kutoka Japan to cover their tracks and evade suspicion kwamba kimetoka kwao. Others can confirm that but I heard from very good sources.
Intelligence service yetu in those days had an excellent reputation as one of the best in Africa - and may be in the whole world. Walikuwa macho sana lakini for some reason they missed that one. Nobody is perfect. Even major intelligence services in the world such as the CIA, the former KGB, M-15, Mosaad, Chinese Intelligence and others are not perfect.