Exclusive: Nani anayemiliki ardhi ya Kenya?....Jisomee mwenyewe!

Exclusive: Nani anayemiliki ardhi ya Kenya?....Jisomee mwenyewe!

Hao ma dot com ndio wezi na wanyakuzi wa ardhi ya wakenya,RUTO majuzi karudisha land aliyokuwa amenyakuwa na kuna kesi inamkabili ya ardhi.hao wanataka urais kuficha maovu yao.kwanza serikali ya kenyatta na moi imeua watu wengi sana.mwandishi kawataja wanyakuzi it doest matter ni muda gani,leo nimesikia uhuru anauza shamba lake moja ili a boost kampeni zake,hahahaha dot com au grabers hao.
 
Back
Top Bottom