Exclusive:Ngoma mpya ya Ali kiba "Kipusa"

Opera Min

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
890
Reaction score
658
Msanii wa Mkali wa bongo fleva Ali Kiba anatarajia kuachia ngoma yake mpya siku chache zijazo,kwenye

ukurasa wake wa Instagram Msanii huyo nyota wa kimataifa amepost "cover page" ya wimbo wimbo huo "KIPUSA" mashabiki mbalimbali wa muziki wametoa maoni yao na kubashiri ngoma hiyo itakua kali na kuja kufunika nyimbo zote zilizotoka hivi karibuni kwani wanaamini Kiba sio mtu wa kukurupuka na hapendi kiki.
 
Afu kipusa ndo nini sasa,mbona kama hii ngoma ni ya kitambo???
 
huyu ni mpotoshaji ,anataka watu tu watembelee blog yake ,nyimbo bado haijatoka

Nakwenda_Zimbabwe
 


Alikiba ni msanii aliyefanya vizuri kwa hit sings zake kama Aje,Mwanadrsm,Nagharamia n.k alikaa kimya kwa muda takribani mwaka mmoja.

Baada ya makelele ya mashabiki zake kutaka new joint Alikiba jana alipost cover yenye jina la kipusa, bado haijajulikana kama ni new song ama laaa lakini mashabiki wamepokea tofauti project hii mpya.

Ushauri wangu kwa Alikiba hili jina kipusa limekaa kihuni sana tafuta jina lingine.Ni hayo tu

great thinker
 
Hivi uliwah kuskiliza kipindi cha chemsha bongo? Alichokua anakuhenyesha Abdalah majura?

Kipusa ulikisikia? Na unakijua shughuli yake?

Eneka na kipusa kipi ambacho uliwah kukiskia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…