Opera Min
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 890
- 658
Msanii wa Mkali wa bongo fleva Ali Kiba anatarajia kuachia ngoma yake mpya siku chache zijazo,kwenye
ukurasa wake wa Instagram Msanii huyo nyota wa kimataifa amepost "cover page" ya wimbo wimbo huo "KIPUSA" mashabiki mbalimbali wa muziki wametoa maoni yao na kubashiri ngoma hiyo itakua kali na kuja kufunika nyimbo zote zilizotoka hivi karibuni kwani wanaamini Kiba sio mtu wa kukurupuka na hapendi kiki.