angedizzle
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 590
- 504
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi uliwah kuskiliza kipindi cha chemsha bongo? Alichokua anakuhenyesha Abdalah majura?
Kipusa ulikisikia? Na unakijua shughuli yake?
Eneka na kipusa kipi ambacho uliwah kukiskia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sina ushabiki kwanza kabisa nyimbo zangu ni za enzi zileeeeMashabiki wa king kwa kujifariji..
Kwa huku uswahili kipusa ni tusi
Tunajadili kipusa na si Eneka wewe acha mahaba hayo.Kwa upande aa lugha za mtaani kipusa inabeba maana ambayo si nzuri masikioni mwa watuHivi uliwah kuskiliza kipindi cha chemsha bongo? Alichokua anakuhenyesha Abdalah majura?
Kipusa ulikisikia? Na unakijua shughuli yake?
Eneka na kipusa kipi ambacho uliwah kukiskia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kupitia na mifano hiyo ndo inampa uhalali kiba kuleta matusi masikioni mwa watu.?kosa ni kosa tu haijalishi limefanywa na wangapiMimi sina ushabiki kwanza kabisa nyimbo zangu ni za enzi zileeee
Mliman ochestra band
Otu jazz band
Kilimanjaro jazz band
Hizi za siku hizi sina hata moja niipendayo. Ila tuu nawashangaa sana mnasema kipusa eti uhuni.
Vipi huyo aloimba Kila kitu K? Ina maana Gani?
Je aliyeimba mwanaume mashine, ama zungusha? Ama eneka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa huku uswahili kipusa ni tusi
great thinker
Tujadili kwa staha mkuu.Sio kitaa chetu karbu kote kwa townWe kweli bwege, kwahiyo kama uswahili kwenu ni tusi unadhani na mitaa mingine ni tusi..
Nitajie nyimbo mbili tu za Kilimanjaro band...unazozifahamu..Mimi sina ushabiki kwanza kabisa nyimbo zangu ni za enzi zileeee
Mliman ochestra band
Otu jazz band
Kilimanjaro jazz band
Hizi za siku hizi sina hata moja niipendayo. Ila tuu nawashangaa sana mnasema kipusa eti uhuni.
Vipi huyo aloimba Kila kitu K? Ina maana Gani?
Je aliyeimba mwanaume mashine, ama zungusha? Ama eneka?
Sent using Jamii Forums mobile app
![]()
Ushauri wangu kwa Alikiba hili jina kipusa limekaa kihuni sana tafuta jina lingine.Ni hayo tu![]()
Msipende kuandika tu na kukosoa ilihali uwezo wa kupambanua ama kufahamu jambo ni mdogo
Hiyo ni kamusi ya KISWAHILI SANIFU - TUKI (UDSM)
Mitoto ya siku hizi imekimbia shule inajikuta mizuri ya kuharibu lugha na ukiiletea misemo ya kiswahili unaipoteza..wanasema katika wasanii wanaotumia kiswahili fasaha mmoja ni alikiba..rejea dushelele alimfuata mtaalam wa bakita kuuweka matamshi vizuriMh nijuavyo mimi Kipusa ni kitu adimu, mfano pembe ya faru etc.
Watoto wa siku hizi wanashangaza sana! Kipusa ni kitu adimu, nakumbuka shuleni mtu mtoro anaetafutwa na mwalimu tulikuwa tunamuita kipusa.KAMUSI YA KARNE YA 21 UKURASA WA 221 INASEMA KIPUSA NI PEMBE INAYOOTA KATIKA SEHEMU YA PUA YA FARU AMBAYO INA THAMANI KUBWA, maana ya pili ni MWANAMKE WA UMRI WA MAKAMO, MWENYE SURA NA UMBO LA KUVUTIA, MREMBO, KIDOSHO, haya mtoa mada toa huu ushuzi haraka
Kwa huku uswahili kipusa ni tusi
great thinker