Exclusive pic: Diamond ndani ya mjengo na wanae



Umeongea ukweli....nafikiri Diamond na wafimilia yake walishagundua hili na ndiyo maana Mama Diamond alimtimua Hamisa ili kuondoa nuksi kwenye uko wao. Mwanamke si sura tu, kuna mengi wana carry ila wanaume hawajuwi tu na moja kati ya hizo ni laana ama mikosi. Diamond alikuwa na Wema mbona alikoma, alifirisiwa mpaka jamaa akaona bora aondoke na hirizi iliyokuwa inatumiwa kumfunga pamoja na picha zikatupwa jalalani kwa hasira. Amuache tu Hamisa auze mkaa wake na lile genge huenda atapata wake.
 

mond kaangalia wapi ilipo fursa hamna mambo ya kupelekana mahakaman kwa ajili ya matunzo ya wakina tiffah.
 
Ni kweli hawajarudiana bali wanalea ila sie watanzania tushazoea watu wakiachana basi ni bifu mwanzo mwisho

unafikir akiomba mech atakataliwa? kitendo cha kuingia ndani na kufurahiwa na watoto tayar kuna kitu huongeza rohon kwa mzaz
 
Hivi kutembelea watoto kwa mzazi mwenzio ndio kurudiana?kwa hii mentality ndio maana tunawaponda na tunaogopa kuoa single mothers humu maana baba mtoto akimuona mwanae tunaamini wamerudiana;au wenyewe wametangaza kurudiana?
Mkuu Diamond alipigwa pini tangu waachane na mzazi mwenzie hakuwahi kuongea na watoto wala kuwatembelea. Juhudi za kuwasuruhisha ndizo zimesaidia hata ameweza kwenda kuwaona watoto. Lakini kingine post ya Zari kumshukuru hadharani Diamond kwa zawadi inaonyesha ni jinsi gani mambo yanazidi kuwa manzuri.

 
Watanzania nao watanzania wapendezaaa wapendezaaa in hayati komba's voice
unafikir akiomba mech atakataliwa? kitendo cha kuingia ndani na kufurahiwa na watoto tayar kuna kitu huongeza rohon kwa mzaz
 
Ningepanda kutumia nafasi hii kutuma salaam kwa watu watatu, kwanza kwa mke wangu mpenzi Mama Gaude a.k.a Mama G, nakusnakushuru sana, japo ulevi umenizidi mpaka navua nguo hadharani lakini we uniachi. Pili kwa Mama Rhoda au Hi. Kibonge kama wanavyokuita. Asante sana kwa kutudunga vyombo vya bei rahisi. Bila wewe tusingepata stimu maana bei ya bia hatuwezi kuimudu.
Tatu na mwisho kabisa ni kwa Mheshimiwa sana, Rais Dr. John Pombe Kagame Magufuli a.k.a Pogba. Tunaomba upunguze kidogo, maana vimekaza sana mpaka tumechoka kutembea kwa miguu sasa tunatambaa. Tumetubu baba, fanya mpango uweke grisi kidogo. Ni hayo tu.
 
Hmm!!
Mbona mapema ivi mkuu hii ni nguvu ya Don't Nyati
 
Safi, ile ajira ya Mpiga picha Kifesi inarudi.
 
😡 😡 😡 😡 😳 😳 😳 😳
 
Hivi kutembelea watoto kwa mzazi mwenzio ndio kurudiana?kwa hii mentality ndio maana tunawaponda na tunaogopa kuoa single mothers humu maana baba mtoto akimuona mwanae tunaamini wamerudiana;au wenyewe wametangaza kurudiana?
hehehe mtalaka haachwi
 
Aiseee nimecheka sana,pole mkuu kwa kufuga mbu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…