Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Ni kweli hawajarudiana bali wanalea ila sie watanzania tushazoea watu wakiachana basi ni bifu mwanzo mwisho
Kwani ua jekundu au kulea kama wazazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ua jekundu au kulea kama wazazi?
Mwanaume unaweza ukawa na Wanawake wengi / lukuki ila pia ua yupo mmoja ambaye ndiye ameshikilia ' Nyota ' yako ya Kimafanikio. Hapa wala huhitaji kupepesa macho, kutikisa masikio wala kumung'unya maneno kwamba Mwanamke pekee anayeshikilia vyema ' Nyota ' ya Kung'aa ya Diamond Platinum ni Zari pekee na hao wengine anaokuwa nao ni ' Wafifisha ' nyota yake tu watupu!
Mimi mpaka leo nina mwaka wa 17 sasa sijapa bahati ya kuwa na Mwanamke mwenye ' Nyota ' kali ya Kunifanikishia maisha yangu sana sana wengi ninaowapata naona ' Nyota ' zao Kwangu ni kunifanya niugue tu Malaria mara kwa mara utadhani hawa Mbu nawaumba au nawahifadhi Mimi Chumbani mwangu / kwangu.
Halafu tuacheni ' Unafiki ' Diamond anapendeza sana akiwa na Zari kuliko na hawa ' Visokolokwinyo ' wa Kitanzania.
Mwanaume unaweza ukawa na Wanawake wengi / lukuki ila pia ua yupo mmoja ambaye ndiye ameshikilia ' Nyota ' yako ya Kimafanikio. Hapa wala huhitaji kupepesa macho, kutikisa masikio wala kumung'unya maneno kwamba Mwanamke pekee anayeshikilia vyema ' Nyota ' ya Kung'aa ya Diamond Platinum ni Zari pekee na hao wengine anaokuwa nao ni ' Wafifisha ' nyota yake tu watupu!
Mimi mpaka leo nina mwaka wa 17 sasa sijapa bahati ya kuwa na Mwanamke mwenye ' Nyota ' kali ya Kunifanikishia maisha yangu sana sana wengi ninaowapata naona ' Nyota ' zao Kwangu ni kunifanya niugue tu Malaria mara kwa mara utadhani hawa Mbu nawaumba au nawahifadhi Mimi Chumbani mwangu / kwangu.
Halafu tuacheni ' Unafiki ' Diamond anapendeza sana akiwa na Zari kuliko na hawa ' Visokolokwinyo ' wa Kitanzania.
Ni kweli hawajarudiana bali wanalea ila sie watanzania tushazoea watu wakiachana basi ni bifu mwanzo mwisho
Mkuu Diamond alipigwa pini tangu waachane na mzazi mwenzie hakuwahi kuongea na watoto wala kuwatembelea. Juhudi za kuwasuruhisha ndizo zimesaidia hata ameweza kwenda kuwaona watoto. Lakini kingine post ya Zari kumshukuru hadharani Diamond kwa zawadi inaonyesha ni jinsi gani mambo yanazidi kuwa manzuri.Hivi kutembelea watoto kwa mzazi mwenzio ndio kurudiana?kwa hii mentality ndio maana tunawaponda na tunaogopa kuoa single mothers humu maana baba mtoto akimuona mwanae tunaamini wamerudiana;au wenyewe wametangaza kurudiana?
unafikir akiomba mech atakataliwa? kitendo cha kuingia ndani na kufurahiwa na watoto tayar kuna kitu huongeza rohon kwa mzaz
Hmm!!Ningepanda kutumia nafasi hii kutuma salaam kwa watu watatu, kwanza kwa mke wangu mpenzi Mama Gaude a.k.a Mama G, nakusnakushuru sana, japo ulevi umenizidi mpaka navua nguo hadharani lakini we uniachi. Pili kwa Mama Rhoda au Hi. Kibonge kama wanavyokuita. Asante sana kwa kutudunga vyombo vya bei rahisi. Bila wewe tusingepata stimu maana bei ya bia hatuwezi kuimudu.
Tatu na mwisho kabisa ni kwa Mheshimiwa sana, Rais Dr. John Pombe Kagame Magufuli a.k.a Pogba. Tunaomba upunguze kidogo, maana vimekaza sana mpaka tumechoka kutembea kwa miguu sasa tunatambaa. Tumetubu baba, fanya mpango uweke grisi kidogo. Ni hayo tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watanzania nao watanzania wapendezaaa wapendezaaa in hayati komba's voice
Za asubuhi Numby [emoji23][emoji23][emoji23]Watanzania nao watanzania wapendezaaa wapendezaaa in hayati komba's voice
😵 😵 😵 😵 😳 😳 😳 😳Ningepanda kutumia nafasi hii kutuma salaam kwa watu watatu, kwanza kwa mke wangu mpenzi Mama Gaude a.k.a Mama G, nakusnakushuru sana, japo ulevi umenizidi mpaka navua nguo hadharani lakini we uniachi. Pili kwa Mama Rhoda au Hi. Kibonge kama wanavyokuita. Asante sana kwa kutudunga vyombo vya bei rahisi. Bila wewe tusingepata stimu maana bei ya bia hatuwezi kuimudu.
Tatu na mwisho kabisa ni kwa Mheshimiwa sana, Rais Dr. John Pombe Kagame Magufuli a.k.a Pogba. Tunaomba upunguze kidogo, maana vimekaza sana mpaka tumechoka kutembea kwa miguu sasa tunatambaa. Tumetubu baba, fanya mpango uweke grisi kidogo. Ni hayo tu.
hehehe mtalaka haachwiHivi kutembelea watoto kwa mzazi mwenzio ndio kurudiana?kwa hii mentality ndio maana tunawaponda na tunaogopa kuoa single mothers humu maana baba mtoto akimuona mwanae tunaamini wamerudiana;au wenyewe wametangaza kurudiana?
Mwanaume unaweza ukawa na Wanawake wengi / lukuki ila pia huwa yupo mmoja ambaye ndiye ameshikilia ' Nyota ' yako ya Kimafanikio. Hapa wala huhitaji kupepesa macho, kutikisa masikio wala kumung'unya maneno kwamba Mwanamke pekee anayeshikilia vyema ' Nyota ' ya Kung'aa ya Diamond Platinum ni Zari pekee na hao wengine anaokuwa nao ni ' Wafifisha ' nyota yake tu watupu!
Mimi mpaka leo nina mwaka wa 17 sasa sijapa bahati ya kuwa na Mwanamke mwenye ' Nyota ' kali ya Kunifanikishia maisha yangu sana sana wengi ninaowapata naona ' Nyota ' zao Kwangu ni kunifanya niugue tu Malaria mara kwa mara utadhani hawa Mbu nawaumba au nawahifadhi Mimi Chumbani mwangu / kwangu.
Halafu tuacheni ' Unafiki ' Diamond anapendeza sana akiwa na Zari kuliko na hawa ' Visokolokwinyo ' wa Kitanzania.
Za asubuhi Numby [emoji23][emoji23][emoji23]