Mkuu andika hoja, sidhani kama kuna kichekesho humu JF zaidi yako maana wewe ni kusubiri Lunyungu aandike kwanza ndio urukie mkuu,
Hapo juu unajaza uchafu tu hoja huna mkuu, tafuta hoja kwanza ndio ujibu, kama huwezi waachie wengine, msimamo huna mkuu kaaa pembeni!
The greatest lesson in life is to know that even fools are right sometimes
Kuwa kichekesho ni sehemu ya JF kwani ni mahala pa kuburudisha,
Yaaani hapa JF kwako ni mahali pa kuburudisha, wakati wanaume tunajadili taifa, wewe unakuja kuburudisha, no wonder hizo quote zimeandikwa na mtu mmoja,anayekuja hapa kuburudisha!