tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
aaahaaaa u gay bd unanifatafata why????!!!!!aaaahaaaaaaa daah nauwezo wa kukulisha wewe hata miaka kumi bila shida yoyote so acha kunifatafata na uhakika asilimia 200 hunipati hata robo.....njoo block D mererani mybe unaweza kua mwanaapolo wangu byeeeee
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا يَسْخَرْ قَوْمٌ مِّن قَوْمٍ عَسَىٰ أَن يَكُونُوا خَيْرًا مِّنْهُمْ وَلَا نِسَاءٌ مِّن نِّسَاءٍ عَسَىٰ أَن يَكُنَّ خَيْرًا مِّنْهُنَّ ۖ وَلَا تَلْمِزُوا أَنفُسَكُمْ وَلَا تَنَابَزُوا بِالْأَلْقَابِ ۖ بِئْسَ الِاسْمُ الْفُسُوقُ بَعْدَ الْإِيمَانِ ۚ وَمَن لَّمْ يَتُبْ فَأُولَـٰئِكَ هُمُ الظَّالِمُونَ ﴿١١﴾ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اجْتَنِبُوا كَثِيرًا مِّنَ الظَّنِّ إِنَّ بَعْضَ الظَّنِّ إِثْمٌ ۖ وَلَا تَجَسَّسُوا وَلَا يَغْتَب بَّعْضُكُم بَعْضًا ۚ أَيُحِبُّ أَحَدُكُمْ أَن يَأْكُلَ لَحْمَ أَخِيهِ مَيْتًا فَكَرِهْتُمُوهُ ۚ وَاتَّقُوا اللَّـهَ ۚ إِنَّ اللَّـهَ تَوَّابٌ رَّحِيمٌ ﴿١٢﴾
Enyi mlioamini! Watu (wanaume) wasiwadharau watu (wengineo, kwani) huenda (waliodharauliwa) wakawa bora kuliko wao. Na wala wanawake (wasiwadharau) wanawake (wengineo), huenda (waliodharauliwa) wakawa bora kuliko wao. Na wala msikashifeni, na wala msiitane majina ya utani (mabaya). Uovu ulioje wa jina la ufasiki baada ya iymaan. Na yeyote asiyetubu, basi hao ndio madhalimu. Enyi mlioamini! Jieupusheni sana na dhana, kwani hakika baadhi ya dhana ni dhambi. Na wala msipelelezane, na wala wasisengenyane baadhi yenu wengineo. Je, anapenda mmoja wenu kula nyama ya nduguye aliyekufa? Mkalichukia hilo! Na mcheni Allaah! Hakika Allaah ni Tawwaabur-Rahiym (Mwingi wa kupokea tawbah - Mwenye kurehemu).[2]
Kiwewe hiki ama nini? Naona sasa umeamuwa kufunguwa madrasat hapa hapa? Tulia dawa ikuingie vizuri.

Hhhhhhaaaaaaaa ni shigidaaaaaa Linda wauweeeeeeee wengine wanatembelea mikono wakiona hilo guu lazima moyo uweweseke, sura nayo mashaalah ati
Wengine hata watoto hawana sura zilivyotelemka sasaa,,,Mungu Fundi yailah
Visa yake ni ya ku forge. Tusubilie mwisho wake. Mnataka kuwa kufirahisha anonymous haya
mwenye picha ya miguu ya Linda na miguu ya mange atuletee tulinganishe
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ (رضي الله عنهπ أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: ((أَتَدْرُونَ مَا الْغِيبَةُ؟π) قَالُوا: اللَّهُ وَرَسُولُهُ أَعْلَمُ. قَالَ: ((ذِكْرُكَ أَخَاكَ بِمَا يَكْرَهُπ) قِيلَ: أَفَرَأَيْتَ إِنْ كَانَ فِي أَخِي مَا أَقُولُ؟ قَالَ: ((إنْ كَانَ فِيهِ مَا تَقُولُ فَقَدْ اغْتَبْتَهُ وَإِنْ لَمْ يَكُنْ فِيهِ فَقَدْ بَهَتَّهُπ) مسلم
Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah (رضي الله عنهπ kwamba Mtume wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلمπ aliuliza: ((Je mnajua maana ya Ghiybah [Kusengenya]?)) Wakasema: Allaah na Mjumbe Wake wanajua. Akasema: ((Ni kumtaja ndugu yako kwa jambo analolichukia)). Akaulizwa: Hebu nieleze, iwapo ndugu yangu anayo yale niyasemayo? Akasema: ((Ikiwa analo hilo usemalo basi umeshamsengenya, na ikiwa hana hilo usemalo basi umeshamzushia uongo))
Acha kudharirisha dini wewe....mara utukane mara uweke maneno ya Allah....wacha utani na mzaha plz.Toa kwanza chuki na inda
Acha kudharirisha dini wewe....mara utukane mara uweke maneno ya Allah....wacha utani na mzaha plz.Toa kwanza chuki na inda
Sifa kuu 3 za mnafki kwa mujibu wa quran.Teh teh teh huyo anafikiri kitabu cha Mungu kama gazeti.
Sifa kuu 3 za mnafki kwa mujibu wa quran.
{1} Akiongea husema Uongo
{2} Akiaminiwa Haaminiki
{3}Akitoa Ahadi Hatekelezi
Izo ndizo sifa 3 kubwa za Mnafki!!
Leo post moja utairudia hata mara 100 na bado utaweweseka sana.
Ila hamzidi zari hata kidogo guu la zari ni noma afu huyu mfupi sana viatu tu vinambeba