Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Status
Not open for further replies.
Kwakwakwaaaa hivi mtoto ulimpa uji kweli??nakuona ulivyobaki moja shoga angu hata vipodozi havikai??unatuzuga eti diet hahahaaaaa!hivyo viguu sasa??utasema ukienda hatua mbili vyavunjika loh!badilikaaa

Jaman naomba mniache nipumue nina stress hapa natia huruma, am seeking sympath....nikipaka hiki hakikai mpaka toto analia natisha niache nipumuweee
 
Una uhakika simjuiiiii? Kwa hio Mange ndo alimjibia akamuwekea maneno kuhusu PACHA? Alichukua pas word ya Insta akaingia kujibu na KUTUONDELEA REASONABLE DOUBT?????????? :shock::shock::shock:. Walau Stella alikaa kimya mpaka leo imebaki speculation.

Basi utakuwa taahira kama yeye kama unamjua mange na unamtetea basi asante lakini pia kuna watu tunamjua mpaka biashara alokuwa anaifanya dubai na hata alivyofiwa na mamake ni kina nani walomchangia nauli ya kuja bongo
 
Ningekua mimi Linda ningeacha haters wanengueee wee simjibu mtu wala siexplain kitu mara ya pili, when somebody devots to find fault in you wallah akimaliza ya nje atakuja ya ndani....haters are like "Wwoooow! She is awesome but I HATE HER...av got to hate SOMEBODY!"
 
And we have the TIME and BUNDLE too! Why not? Hapa tukimpa kamba vizuri dakika tu utaskia yallaaaaaah!
 
Basi utakuwa taahira kama yeye kama unamjua mange na unamtetea basi asante lakini pia kuna watu tunamjua mpaka biashara alokuwa anaifanya dubai na hata alivyofiwa na mamake ni kina nani walomchangia nauli ya kuja bongo

hahahayaaaaaaaaaaaa
alikua anauza visheti na kalimati km mwl?
 
And we have the TIME and BUNDLE too! Why not? Hapa tukimpa kamba vizuri dakika tu utaskia yallaaaaaah!

Oh dear, kwa lipi? Kashfa!,...Matusi au kichambo? Nothing new...hakuna kashfa mpya utakayompa, hakuna tusi jipya utakalomtukana, maybe uamue kumchamba ukiwa mtupu...nalo sio jipya! HAJIUI MTU.
 
Basi utakuwa taahira kama yeye kama unamjua mange na unamtetea basi asante lakini pia kuna watu tunamjua mpaka biashara alokuwa anaifanya dubai na hata alivyofiwa na mamake ni kina nani walomchangia nauli ya kuja bongo

DONT DRIFT FROM THE TOPIC! TOPIC NI EXCLUSIVE ABOUT LINDA! MANGE ANAINGIAJE HAPAAA? MBONA MNAPOTOSHA UZI? Mimi sipendi mjue! NACHANGIA TOPIC ILIYOPO AFU MANITOA KINGUVU KWENDA TOPIC ZINGINE. Afu nyie ndo wachochezi Wa ma beef Uzi unamhusu Linda mnaanza kujadili wtu wengine mnasababisha mwenzenu achambwe. STICK TO THE TOPIC PEOPLE.
 
Sio vita....mpaka unajiandaa kula bann...Linda has nothing to explain to us hatumpi kula wala kunya! IF its the issue of explanation mbona na nyie team fukufuku has a lot to do! ! Anyways somebody is depressed....

OOOH REALLYYYYYY! She has nothing to explain WHY START A THREAD THEN? huh Uzi no exclusive about the Truth ya Linda. Sisi tukihitaji tutaanzisha Uzi maalumu like so far no need!
 
Nilibahatika kumuona Zari pale speke resort miguu yake inatisha.ni mfupi mnooo.hiyo miguu uione kwenye picha ikiwa laivu kama anaumwa matende.nampenda Zari ila kwa ile miguu,hapana.

Utajuaje miguu iliyokaa kubarikiwa kama yako yapo kama ya kuku jamani.

Unamchukia utazani unamjua khaaaaaa utaugua punguza chuki za kujitakia mabaya...unamzimia au ulitokaga na Chibu? Maana hakuna sababu jngine
 
zels pata tuition ya bure hapa wewe na misukule wenzako wenye akili ya kuvukia barabara.

BTW Pasco umetisha kwenye bandiko lako.

To be honest, ww kaka una penda vita.

Umeleta mada ijadiliwe ili ku clarify the jargon about Linda. Mtu aki argue your point unajibu kwa kejeli na matusi.
W
What was your aim to bring this thread?
Mtu akiukiza swali unatukana, really?
 
Last edited by a moderator:
OOOH REALLYYYYYY! She has nothing to explain WHY START A THREAD THEN? huh Uzi no exclusive about the Truth ya Linda. Sisi tukihitaji tutaanzisha Uzi maalumu like so far no need!

Wanja ni wenu.....its a free country anyways like we always say...but I smell fishy,why wearing a combat when going for an interview?? Or you would rather say u r waging a war!! Alikublock rite ukasema asingekublock ungemchamba mpaka akome na roho yakeee...here she have got to bear with u! We r gonna enjoy this show....
 
Huyo linda ndio nani , ana kitu gani au sifa gani ya kipekee?? Au ni hao malaya tu wanaojiuza huko mnakuja kutupasua nao vichwa hapa??? Tafadhalini sana bwana
 
Mashallah..."Kumbushaneni hakika ukumbusho unawafaa wenye kuamini"

Jazaka llah kheir......ujumbe umfikie na mtaa wa pili....

Huwa namtumia nyingi tuu ana hiyari kuzisoma au laa
 
Hivi ile list ya kugombana na watu karibia 60 ,,,yaan kweli mtu mmoja unakosana na watu wote haoo ,,Mwamy kajikalia pembeni kabisaaaa, ,tukiangalia list hiyo utajua nani mwenye problem
 
Huyo linda ndio nani , ana kitu gani au sifa gani ya kipekee?? Au ni hao malaya tu wanaojiuza huko mnakuja kutupasua nao vichwa hapa??? Tafadhalini sana bwana

Pita hivi hapa hapakuhusu umepotea njia.

Rudi JF home page utaona lundo la majukwaa chagua jukwaa la kwenda hapa tuache wauzaji na wanunuzi.
 
Really, please quote at least once nilipotukana.

Kwanza kumuhusisha Muumbaji kwenye michambo ni tusi Toshaaa! Jamani we should have funny ktk hizi mambo ila Mungu sio wa kumchezea!
 
I am sticking to the topic and the main reason for linda to disclose her private information/documents were because of mange, so since she's the main reason lets discuss the source as well au vipi, we still need the answers quit run around the bush.
 
Hivi ile list ya kugombana na watu karibia 60 ,,,yaan kweli mtu mmoja unakosana na watu wote haoo ,,Mwamy kajikalia pembeni kabisaaaa, ,tukiangalia list hiyo utajua nani mwenye problem

Halafu kuna watu wanamuona ana akili timamu?mwamvita anamuogopa kama gonjwa hatari, kama kuna mtu hapa kashagombana na watu wengi kiasi kile ebu aseme hapa na isitoshe akawatukane kwenye blog tena na familia zao, ningependa kujua kama kuna mtu kama mange hapa duniani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…