lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,164
Wanja ni wenu.....its a free country anyways like we always say...but I smell fishy,why wearing a combat when going for an interview?? Or you would rather say u r waging a war!! Alikublock rite ukasema asingekublock ungemchamba mpaka akome na roho yakeee...here she have got to bear with u! We r gonna enjoy this show....
Hahaaaaaa! IT HAS ALWAYS BEEN A FREE COUNTRY SINCE 1961, More than 50 years! Mi nijuavyo kuna CEASE FIRE, wamekubaliana kuishi kwa amani na upendo. Sasa hip vita unayoisemea sijui ipi.
Yale ya kublokiana yalikwishaaa na vitaaa. Na mateka Wa pande zote walishasamehewa.
You are not bearing with me YOU OFFICIALLY INVITED ME HERE KWA MENTION NIKUJEEE. Sasa if I fell short of your expectations I'm truly sorry.
Nyie wapambe ndo mnayakuza badala muendelee na ibada yenu ya ass kissing and licking mnaanza choko choko, mkichokolewa mnarudi kujivictimise.
Muendelee na ibada yenu ya kumhail YOUR MAJESTY THE QUEEN LINDA ZE BEAUTY. Kama mgeni rasmi nishatoa shavu na fagio la kutoshaa kwa Ze Beauty, Mikaribu ya kutosha. Nifanyaje jamani au niwalambe makalio ndo mridhikeee?
Linda Wa watu kaja kusema take wapambe mnamchokonoa LA akilipuka kumnanga Linda ndo raha yenuuu mpate ubuyu. Mi sipendi mjue. Nipo hapa kama envoy Wa a mani.
HAYA ALL HAIL QUEEN LINDA!